Am happily married but feeling so lonely inside

zen

Senior Member
Feb 6, 2016
106
94
Hala JF,

Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage.

Sasa ikatokea nikasikia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake, Iam crying all the time feeling so lonely feeeling Iam with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahidi kumove on. Please nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
 
I mean they say there is no love except for the first love
 
Hizo ni hisia zako tu dada. Tuliza hisia zako, uko nae muda mrefu why u feel not loved?

Nahisi not loved sababu his love story imeniathiri sana hadi nahisi labda ameeowa sababu tu wakati umefika but his heart is not with me
 
Sasa mda wote wa uchumba mbona hukufikiria habar hzo?? Umeolewa ndo unajiona unapendwa juu juu...labda useme hujawahi kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine kabla ya mmeo na ni yeye ndiye aliyekubikiri...vinginevyo wewe utajisikiaje mume wako akianza kuhisi kuwa bado unampenda aliyekubikiri?? Tuliza mzuka dada
 
Take it from...he loves u, achana na his past...mi mwenyewe i dont ask past ya mtu,sitaki ugonjwa wa moyo...kile kitendo cha kutaka kujiua kwa sababu ya ex kitamfanya akae mbali sana na huyo dada...coz he was hurt,and may humiliated,anajua that girl hampendi,anagopa kuumizwa tena...inawezekana akimkumbuka ht huyo demu anakumbuka machungu & all the humiliation...then anakukumbuka ww faraja yake...its u who keep him goin & make him happy & unamfanya asahau his past.
 
Inawezekana una ugonjwa wa Depression. Embu jaribu kugoogle huu ugonjwa uone kama dalili zake zinafanana na vile unajisikia...

Sijui wallah najisikia huzuni sana wakati wote hapokuwa hajaonyesha dalili yyte ya kutokunopenda lakini tokea nijue kuhusu his love story nimekuwa mpweke sana
 
Take it from...he loves u, achana na his past...mi mwenyewe i dont ask past ya mtu,sitaki ugonjwa wa moyo...kile kitendo cha kutaka kujiua kwa sababu ya ex kitamfanya akae mbali sana na huyo dada...coz he was hurt,and may humiliated,anajua that girl hampendi,anagopa kuumizwa tena...inawezekana akimkumbuka ht huyo demu anakumbuka machungu & all the humiliation...then anakukumbuka ww faraja yake...its u who keep him goin & make him happy & unamfanya asahau his past.

Thanks wallah kwa ushauri wako nimejiskia afadhali kidogo I really love and ile kufikiri tu maybe he is still thinking of his ex nakuwa so depressed
 
Back
Top Bottom