Kosa moja dogo sana lakini kubwa sana

Kosa moja dogo sana lakini kubwa sana

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,644
Reaction score
167,532
*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.

1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu..."

Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano , naye uliye naye sasa siye mume wako."
MKE AKAZIMIA
 
[emoji418][emoji418][emoji418][emoji418][emoji38][emoji38][emoji23]
 
Hatari na kabla ya kuchapwa nyingi huwa unatakiwa kupitia na kuhakiki
 
Huenda huyo mchapaji aliwahi kuwa demu wako ndo maana akaamua kufanya hivyo....
 
Back
Top Bottom