Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani mwenzenu hali siyo shwari !! Namwonea huruma huyu mwanaume anayekwenda kumuoa huyu binti ambaye anakwenda kuolewa kwa show off!! Ilikuwa hivi, Mwaka 2010 nilikutana na dada mmoja, single...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Wakuu, Naheshimu mkataba wa milele wa ndoa ya kikiristo, na sio mshabiki wa ufahari wa siku moja. Naomba ya jinsi gani nifanye sherehe ya harusi isizidi milioni moja, labda kuna watu wengine...
6 Reactions
105 Replies
17K Views
Habari zenu wakuu? Hivi sasa kumekuwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili, jambo moja wapo kubwa ambalo limechangia ni utandawazi. Nimesema nguvu imewashinda wazazi kwasababu wenyewe ndio walimu wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I hope mko wazima wote, Leo nina swali kwa wamama; mtoto akilia, inakuja naturally unajua anataka nini? Au una guess kimoja baada ya kingine?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wakuu, Jana mida ya saa mbili usiku wakati natoka mazoezini nimekutana na couple kama mbili tofauti wakiwa wamekumbatiana na huku wakionyeshana mahaba mazito njiani. Wazo likanijia kuwa hii sio...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna ukweli wowote kuwa wanawake waliokeketwa hawajawahi kuwa satisfied kimapenzi hata wakutane na mwanaume fundi kiasi gani? Nimeuliza haya baada ya kukutana na kisa mtaani. Kuna binti mmoja...
5 Reactions
189 Replies
80K Views
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye. Hayo ndio yanayoendelea mpaka leo hapa duniani. Kama unategemea ndugu yako wa damu...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji...
7 Reactions
119 Replies
19K Views
Ivi ni kweli kwamba mwanaume handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa. Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa. Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree. Wanawake nao...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
KUNA WANAWAKE WAVUMILIVU HUKU DUNIANI MFANO HAKUNA.... UTAKUTA YUPO NA MWANAUME ANANUKA MDOMO, MASIGARA, VIROBA, GOMBA( MIRUNGI), MIXER MIGUU KUNUKA UTADHANI MZOGA WA KITIMOTO... LAKINI BADO...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kumekua na tabia kwa baadhi ya wanawake ya kupenda waume zao na kuwachukia wazazi wa kike wa wawaume zao. Hii tabia imekithiri katika baadhi ya ndoa nyingi, wanawake hao wamekua...
3 Reactions
81 Replies
13K Views
Juzi katika pitapita zangu katika mitandao mbali mbali ndipo nilipokutana na hii nyimbo ya Beyonce if i were a boy ,mara nyingi sipendi kuingia kwenye link ambazo sio dhamira yangu but this link...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari wana JF, Wakati mwingine huwa kuna haja ya kuwakumbusha wanawake kuwa wapo chini ya utawala wa kiume na kwa kuhakikisha unalisimamia hili ni lazma uoneshe power yako ya kiume kwa kutembeza...
18 Reactions
105 Replies
35K Views
Kwanza niwapongeze hawa wadogo zetu wanaotusaidia majumbani kiukweli wamekuwa dawa na suluhisho pale ambapo kuna hitilafu katika mahusiano kati ya mume na mke. Kuiko ukatafute mchepuko nje ni bora...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Masaibu wanayo yapitia wanaume ni magumu.... Kodi nikupe.. nikuvishee... nikulishe..... nywele nazoo.... kila mwezi emagency.... nikufate na mguu....we ukija kwangu uje na taxiiii tena mi niilipie...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimeolewa nina watoto 2, mume wangu anapenda kuongea maneno ambayo yananiumiza, kama nimeshakuzalisha sikutaki tena natafuta mpenzi mwingine, najuta kuwa na wewe kuna wanawake warembo zaidi yako...
0 Reactions
126 Replies
28K Views
NNaitwa Josephine kusema ukweli mi ni mwanamke wa Kawaida namshukuru mungu ameniumba kwa sifa ambazo kwa mimi naona niko vizuri kiumri nina miaka 19 Niliwahi kuwa nà mpenzi wangu na nilipopata...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Oh Saturday...what a day! Who:? Ngabu, Tricia, Susan, and Suzanne. What happened:? My serendipitous encounter in the bathroom hallway with three middle-aged, divorced white women. When:? August...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Wandugu natumai mko poa, Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale simu yake itapoita imekuwa kama fomula akinipigia ni mizinga ya hela tu, hana shida kivile anajiweza lakini...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Za leo ndugu, Kwa uchunguzi wangu nilioufanya asilimia 90% ya wanawake walioko kwenye hamusiano lazima wana dawa au kauchawi kadogo. Matukio mengi ya kufumaniana pochi za wanawake zikifunguliwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom