Baada ya kugundua, utamwacha?

Baada ya kugundua, utamwacha?

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
2,262
Reaction score
856
Nawapenda,

Ni kawaida kufanya kautafiti juu ya mwenza unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Inapotosha kujiridhisha na kuanza uhusiano ni busara kuacha kuchimba mambo yake ya zamani

Ni jambo,hulka,tabia gani pale utakapoijua kwa bahati mbaya kuhusu past ya mwenzi wako itapelekea uhusiano kuvunjika?

Wengi husema kama hakujua au mwenzi alimficha kuwahi kuwa; changudoa,kuwa na watoto,ujambazi,utoaji mimba,kuwahi kuoa/kuolewa,kushiriki mapenzi ya jinsia moja,kuugua kichaa,ulevi,ngono kinyume na maumbile n.k

Wewe je?
 
Past has gone....
muda ambao nipo nae ndio najali

What if ni past inayoweza athiri uhusiano au maisha yenu kama

-ulevi kupindukia utakaosababisha uwajibikaji mdogo kwako na familia

-Utoaji mimba unaoweza wakosesha nafasi ya kupata watoto

-Kuwahi kuwa na familia kutakovuruga size ya familia uliyopanga kuwa nayo

-Uchawi kunakopunguza amani moyoni na imani yako
 
yaliopita si ndwele mi najali ya sasa...ila feedback muhimu je kama kawahi kutoka na dingi ako je?
 
Bei Mbaya

Nobody is perfect... Ukimchunguza Sana bata hutamla, mpende akupendaye kwa dhati na aliye tayari kuacha yaliyopita... Kuna mikondoo haijawahi kufanya mabaya yoyote lakini ni washenzi kupindukia roho mbaya, uchimvi, majungu, maharagwe ya mbaya, uongo wizi na ubaradhuli wa kila aina wanao ila hujificha kwenye Koti la dini ulokole na swala tano, hao ni wabaya kuliko aliyewahi kuwa changu au jambazi
 
Last edited by a moderator:
hapo big issue ni ukichaa unarithiwana watoto wenu unamadhara kwa familia mojakwa moja usifanye mchezo kuishi na kichaa na vitendo maamuzi ni hatari
 
Nobody is perfect... Ukimchunguza Sana bata hutamla, mpende akupendaye kwa dhati na aliye tayari kuacha yaliyopita... Kuna mikondoo haijawahi kufanya mabaya yoyote lakini ni washenzi kupindukia roho mbaya, uchimvi, majungu, maharagwe ya mbaya, uongo wizi na ubaradhuli wa kila aina wanao ila hujificha kwenye Koti la dini ulokole na swala tano, hao ni wabaya kuliko aliyewahi kuwa changu au jambazi

Hii ni kweli kabisa, Mimi Naweza Nikaoa hata Changu mstaafu alieamua kutulia mradi nimpende na anivutie kuliko hao uliowaweka hapo. Wengi wamejaa unafiki tu.
 
Nawapenda,

Ni kawaida kufanya kautafiti juu ya mwenza unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Inapotosha kujiridhisha na kuanza uhusiano ni busara kuacha kuchimba mambo yake ya zamani

Ni jambo,hulka,tabia gani pale utakapoijua kwa bahati mbaya kuhusu past ya mwenzi wako itapelekea uhusiano kuvunjika?

Wengi husema kama hakujua au mwenzi alimficha kuwahi kuwa; changudoa,kuzaa,jambazi,utoaji mimba,kuwahi kuwa mke/mme,kuugua kichaa,ulevi n.k

Wewe je?

No need of past kama umeshaamua kuwa nae,
 
Bei Mbaya

Nobody is perfect... Ukimchunguza Sana bata hutamla, mpende akupendaye kwa dhati na aliye tayari kuacha yaliyopita... Kuna mikondoo haijawahi kufanya mabaya yoyote lakini ni washenzi kupindukia roho mbaya, uchimvi, majungu, maharagwe ya mbaya, uongo wizi na ubaradhuli wa kila aina wanao ila hujificha kwenye Koti la dini ulokole na swala tano, hao ni wabaya kuliko aliyewahi kuwa changu au jambazi

Mkuu mshana jr umeongelea jambo la msingi sana kuna mabinti wawili nimewahi kuwa nao yaani ukiwa nao kutwa ni kujisifia bikira zao na ulokole huku wakiwaponda madem wengine kwsbb wao walikuwa watu wa kanisani sana....ila baada ya muda flan nikaja kugundua wana roho mbaya haswa ni bora hata kuoa hao wanawake wasiojitangazia ulokole. Unafiki wa kupitia ulokole ni mbaya sana.
 
Unakijua kitu kinachoitwa"Upole wenye chuki na hasira"? Wengi wao wanacho sana. Unakuta mtu anajifanya mtulivu na mpole ila kauli zake zimejaa chuki na hasira dhidi ya wengine kwa vile tu anaamini hawana viwango kama vyake.
 
Last edited by a moderator:
Wengi tuko na tabia za spy yani kujua vyote older and currently about her ukimjua vyema hawezi kukuangamizi ww weka pamba masikioni kesho usikie ana mtoto ni mkubwa tu huko kijiji kwao kamuachia bibi yake ndo utatamani uzikwe mzima maana
 
Unakijua kitu kinachoitwa"Upole wenye chuki na hasira"? Wengi wao wanacho sana. Unakuta mtu anajifanya mtulivu na mpole ila kauli zake zimejaa chuki na hasira dhidi ya wengine kwa vile tu anaamini hawana viwango kama vyake.

Upo sahihi kabisa mkuu,mimi nilishaamua kamwe sintaoa hawa wanafiki wanaojiita walokole
 
Back
Top Bottom