Ukitaka binti wa kitanzania akupende kwa dhati, mfanyie mambo haya

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,814
15,106
1. Mpe pesa hata kama hajakuomba na usimuulize kazitumiaje.
2. Usimuulize ulize maswali ya kijinga jinga, mfano ucmuulize ''uko wapi na nani na mnafanya nini?
3. Tengeneza distance na yeye, yani usimpe nafasi ya kukujua in and out zako.
4. Usionyeshe wivu kwake, we hata ukimuona njiani kakumbatiana na linjemba lingine we kausha tu, ye mwenyewe atajiongeza kwanini umemkaushia.
5. Usimkosoe hata kama kakosea.
6. Usiwe muongeaji sana na hata ukiongea unaongea point tupu.
7. Usiwe mlalamishi hovyo.
8. Fanya naye mapenzi vizuri
9. Vaa pamba za kawaida na uwe nadhifu.
10. Akipendeza umsifie.
11. Usitumie kilevi chochote.
 
1469547812768.jpg
 
ONYO: Mwanamke ukiwa na mwanaume Mwenye hizo sifa toa taarifa haraka sana Kwa Paul makonda kutekeleza lile katazo lake
 
No.4 mfano wake no.2 naunga mkono hii hoja kwani unamfanya ujisikie huru na amani kuwa nawe
 
Mimi wala sitaki tusumbuane, ukitaka kukaa kaa, usipotaka kwendraaa! Unaeza mkunja vilivyo mwanamke bado akakusaliti, waweza mpa kila kitu mwanamke bado ukawa zoba tu.
 
Back
Top Bottom