Inawezekanaje?

Inawezekanaje?

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,534
Reaction score
4,293
Jaman shikamoon wakubwa! Habari zenu vijana! Maraharba ninaowazd!!!
Jaman maada yangu nataka kuuliza kuna uwezekano wa mwanamke kubeba mimba akiwa amefanya mapenzi siku ya kwanza baada ya period kukata?? Maana nahis hapa nataka kuibiwa mwenzenu kila siku "ooh bby tuma hela ya kununua udongo mara hooo bby nimemiss chips yai....Mara hooo bby nataman kula kiti moto jaman hiyo ni mimba au Upunaji afu mwisho wa siku naambiwa "ooo bby nimeanguka nikalalia tumbo vbaya nashangaa nimeanza kubreeed automatic dam iliyochanganyika na Mabonge mabonge na maumivu makal tumbon baada ya kufka hosptal nimeambiwa mimba imetoka!! Je wadau kwa mazngra kama hayo mimba inaweza kutungwa? Na je mwanamke akiangukia tumbo mimba inaweza kutoka? Nipen maon wadau kama nimeibiwa nijue cha kufanya!!!!
 
Nenda polisi fasta ushaibiwa tayar khaaaa wanawake hawa ni shida asee
 
kama ulimgegeda siku moja baada ya kutoka period yani una uhakika na hilo,bhasi huyo mwanamke kakuona Mandemba kama sio ndoza.
 
Jamani ebu muachie mdada wawatu,huyu amekusaidia sanaaa kudai vitu viduchu kama hivyo,mie nikiwa na mimba hua nadai gari mpya nasema yazamani siwezi kupumua vizuri,mimba ikifika miezi 6 naanza kudai Dhahabu hata bangili sita lakini nipewe wewe vitu kidogo tuu unalalamika ebu msamehe mdada wawatu na siku nyengine nenda na kinga...
 
Acha ujinga, usifanye huo ujinga sku moja baada ya period, utapata magonjwa bure, bora utumie c...ndom
 
Bhana utajua mwenyewe,kwani haujua kazi ya kondom.?!
 
Back
Top Bottom