Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume...
Wengi wenu mmezidi kupaka matakataka usoni hadi mnapoteza uhalisia, kunako bedi bed sasa, maharufu makali hadi inakuwa ngumu kukidhi haja. Mwengine huwezi mjua kama ni mzungu au albino, mnatia...
ISOME KWA MAZINGATIO INAKUHUSU WEWE KIJANA KISA CHA DADA HUYU
Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio...
Kwanini napata shida sana kujua hili swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamilikaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao. But kuna mwanamke...
Inatokea mara kwa mara kwa wanawake wengi, kipindi hajazaa huwa anatembea sana na vijivulana vingi na kuwaringia wanaume wa kweli wenye future nzuri, ila baada ya kupachikwa mimba tu na kuzaa...
Wife nilimbembeleza mpaka akakubali kwenda clinic mimba ni ya miezi 4 sasa kapewa arvs but kagoma kabisa kutumia kwa imani yake anasema hajaathirika na hawezi kutumia kamwe.
Mimi inaniuma sana...
Nina miaka 24, naishi Morogoro, hasa Mzumbe, nipo mwaka wa pili chuo, nahitaji kuwa na mahusiano na msichana yeyote atakayejisikia kuwa nahitaji kuwa na mtu wa kumpenda na kuwa future nae.
Sina...
Mwanaume mmoja raia wa Uholanzi amejikuta akilazwa hospitalini baada ya kukaa katika Uwanja wa Ndege kwa siku 10 nchini China alipoenda kwa lengo la kukutana na mrembo aliyekuwa akiwasiliana naye...
Alipopata mimba alinichukia sana aliwafanya hadi wazazi wake wanichukie nashukuru Mungu kajifungua salama mtoto wa kike mzuri kama yeye nyumbani mahaba niue hadi kazini perfomance imebadilika ni...
Kwa hisani ya kurasa ya instagram: @simulizi_za_series
TUMBO LA PERIOD.
Sikufahamu ni pepo gani lilinivaa siku hiyo kwani sikutaka kukaa na marafiki zangu wala kupiga soga kama ilivyo ada kila...
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake, wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa kwa...
Hi,
I'm a man ageing between 23-26 years old and 178 cm tall. I'm currently a student at a certain institute here in Dar.
I would like to meet my life partner ageing 18-25 years old, I would...
Habari zenu wana JF, nina swali naomba majibu yake:
Kwamba utakuta mwanamke ana papuchi kubwa ambayo sio saizi yako halafu unamgegeda na unasikia kabisa kwamba haimkuni kisawa sawa maana papuchi...
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu...
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.
Inaniuma sana tena...
nimefuatilia familia nyingi zinazokuwa tayari wameambukizwa virus vya vvu huwa unakuta mke na mume wameadhirika ila anayeanza kuchoka au hata kutangulia kufa huwa ni mwanaume sasa huwa najiuliza...
Poleni na majukumu ya kutwa nzima wakuu,
Nimekuwa na mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, bali tabia yake ya hasira na kutokuwa mvumilivu vimekuwa ni changamoto kubwa kwangu...
Tuweni wakweli katika hili ...
Kutoridhika na mwenzi wako ndo sababu kuu ya kukufanya uchepuke. Kama kuna sababu nyingine naomba uiweke haba ili turekebishane tabia ...
Habari,
Kuna jambo nataka ni shere nanyi. Kuna bwana mmoja yeye ni muathirika wa HIV na nilijua kupitia dada yangu, huyo bwana na dada yangu walikuwa ni wapenzi wa mda mrefu sana, baadae huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.