Mwanaume Anaepetipeti VS Mwanaume Mtundu Kitandani

Mwanaume Anaepetipeti VS Mwanaume Mtundu Kitandani

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,180
Reaction score
861
Hii mada nimeikuta somewhere.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho inavibrate.

Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
 
Siku hizi kuna doldo ujue utajenga na kusomesha kwa jicho kuvaibrate
 
Tutafute pesa, hakuna binti au msichana ukiwa huna pesa, atakuvumilia kwa muda kisha atapaa kuelekea kwa wenye pesa. HATA watoto ukiwa huna pesa watakuita Dingi, ukizipata inaitwa mshua
 
Wanawake in vigeugeu. Ukiwa na pesa wanatafuta namna ya kukuganda usiwe na mchepuko na kudai hawaridhiki na kutopenda uende mbali nao; ukimgonga akaridhika kifuatacho ni orodha ya mahitaji kila siku. Acha kujichosha tafuta pesa.
 
Me ntamchagua anae petipeti, asikwambie mtu "nyama ya ulimi tamu " yan me magentlemen ndo ugonjwa wangu, yan mwanaume anae-care hata kama hana mpunga (not totally broke) me naumwa kabisaaa, huyo msimamia kucha apite kushoto tu kwakwel, gentleman ntafundisha mapenzi ya kitandan me mwenyewe n kwakua he is very gentle lazima ataelewa tu, kudekezwa dekezwa ndo mpango mzima hasa na wewe ukijua kudekezeka n kumdekeza mwenzio yan mnaweza kaa ndan bila kula na njaa isiume kwa huo mda
 
JAMAA KASEMA KWAMBA ANA SWALI DOGO KWA LADIES...!!
SASA NYINYI WANAUME MNA COMMENT NINI HUMU????
NYIE NDIO WANAWAKE????
EBBBO..!!!

#Chief Eng
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39]
 
Me ntamchagua anae petipeti, asikwambie mtu "nyama ya ulimi tamu " yan me magentlemen ndo ugonjwa wangu, yan mwanaume anae-care hata kama hana mpunga (not totally broke) me naumwa kabisaaa, huyo msimamia kucha apite kushoto tu kwakwel, gentleman ntafundisha mapenzi ya kitandan me mwenyewe n kwakua he is very gentle lazima ataelewa tu, kudekezwa dekezwa ndo mpango mzima hasa na wewe ukijua kudekezeka n kumdekeza mwenzio yan mnaweza kaa ndan bila kula na njaa isiume kwa huo mda
May be
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom