Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Wakuu,
Kuna Mzee kanipigia simu jana jioni kaniambia niende nyumbani kwake ana mazungumzo nami,
Nikaenda,
Mzee kaniambia yafuatayo,
"Kijana nimepata taarifa kuwa upo katika harakati za Kutafuta Mke bila MAHARI,
Kwa kuwa wewe #SENETA_WA_MTWIZ ni kijana mwema kuliko wote hapa mtaani
Usihangaike Kabisa kijana,
Yule binti yangu ambaye kamaliza shahada ya mambo ya takwimu mwaka huu ni bikra,
Na alipozipata taarifa zako za Kutafuta mke amefurahi sana,
na akamwambia mama yake anifikishie ujumbe nikuite kukujuza juu ya utayari wake,
Na hata kama umeshapata mwingine Si mbaya kuwa na Mke wa pili.
Kwa hiyo kijana nakuomba ufikirie kwa kina na mapana,
Uniletee jibu mapema wiki hii."
Huyu binti ni mweupeee,
Ana shepu matatraaaaa!!!
Na shavu zenye dimpoz,
Bila kusahau kipengele cha Ku_vibrate kwa back atembeapo,
Na akitabasam' lips ni zaidi ya zile za FARAJA KOTA,
Pia hips zaidi ya Rah_P.
Sasa wakuu,
Kwa Hii bajeti yangu ya sasa ya TSHS 115,000/=
Vipi inaweza kutosha kuolea?
Ikumbukwe kanzu na barakashia ninavyo,
Ila mavazi ya bibi harusi nd'o bado.