Wakina dada wanandoa jifunzeni hili

BLADSOME

Senior Member
May 12, 2016
195
72
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi
usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka..Kazi yote ufanye wewe...

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata
hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa
Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama
mwenye Mdondo...

Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.
 
Kama kuna kaukweli hasa kale ka kanda ka victoria kule wanawake wa kule wengi wao ni .........
 
Ratiba ya treni ya abiria reli ya kati ni siku gani.muda wa kuondoka dsm na kufika mza ukoje.inachukua siku ngapi kufika mwanza.mtujuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom