Prince Naahjum_
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 139
- 125
Usiruhusu mtu yeyote akushushe chini. Achana na watu wanaokuchukulia kirahisi rahisi sababu hawana mchango wowote katika maisha yako. Waache waende wala wasikukoseshe amani ya moyo. Maisha ni mafupi, tumia muda wako kufurahia maisha na kile Mungu amekupa.
Acha kupoteza muda wako kujithibitisha kwa watu kuwa wewe ni bora, mtu pekee unayetakiwa kumthibitishia kuwa wewe ni bora ni wewe binafsi. Jaribu kuwa mtu bora kuliko vile ulivyokuwa jana, jiamini zaidi ulivyojiamini jana na zaidi ya yote tafuta kuwa na furaha zaidi ya jana.
Usiweke machungu na hasira ndani ya moyo wako maana vinakuathiri wewe mwenyewe, vinakunyima furaha na kupunguza muda wako wa kuishi. Maisha yako ni ya thamani sana usiruhusu mtu ayashushe thamani.
Wewe ni wathamani sana.
Weekend njema.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
FB: PRINCE NAAHJUM ALSINA