Hivi wanawake wana mioyo gani?

Hapo Ndo ujue kwanini yesu hakumweka mwanamke hata mmoja kuwa miongoni mwa wanafunzi wake 12 .
Nyuma yao yuko rafiki yao asieonekana kwa macho anaewapa kiburi na ujeuri. Huyo rafiki yao anawatumia km fimbo ya kuponda wanaume.
Mkuu nimekuelewa kuna sababu, unajua wanaume walipewa majukumu sana na Mwenyezi-Mungu na pia hata hawajatajwa sana saana kwenye Biblia ispokua kama ni specific task mfano kuzaa kama Bikira Maria na Hawa/eva.
Kuna sababu hapa hata mimi kama hamna uhitaji basi siwezi mweka mwanamke kwenye shughuli zangu.
i hate this stupid again, by the way nina mama ila hata kama mwanamke ni mtu wa ajabu sana.
Biblia pia inatuambia ishini na wake zenu kwa akili mstari flani hivi kutoka kitabu cha Mithali.\
Mungu alishajua hawa ni viumbe wa aina gani ndo maana akatupa onyo mapema.
Shukrani kwa Mwenyezi-Mungu kwa wema wake, daima atupe ujasiri tuweze kushinda majaribu na tamaa
 
Hapo Ndo ujue kwanini yesu hakumweka mwanamke hata mmoja kuwa miongoni mwa wanafunzi wake 12 .
Nyuma yao yuko rafiki yao asieonekana kwa macho anaewapa kiburi na ujeuri. Huyo rafiki yao anawatumia km fimbo ya kuponda wanaume.
sababu tunaingia hedhi na tukibeba mimba hatuwezi tembea muda mrefu.. halafu pia alijua hawezi kuweka hasi na chanya pamoja ......
 
sababu tunaingia hedhi na tukibeba mimba hatuwezi tembea muda mrefu.. halafu pia alijua hawezi kuweka hasi na chanya pamoja ......
Bado hii sio sababu mbona wazee/wababu walikua wanafanya majukumu mbalimbali na umri wao kwani hakuwaona nyie wanawake? sasa hujiulizi kwa nini hakuna kitabu hata kimoja kwenye Biblia kimeandikwa na mwanamke?? nyie ni kikwazo hapa duniani
 
tumeumbwa hivyo emotion kwanza akili baadae
Kumbe unaongelea nature sio? basi hamuwezi acha sababu mlizaliwa hivyo.
Sasa kwa sababu tushajua udhaifu wenu na jinsi mlivyo nafsini mwenu psychology works lazima mtutambue.
Lazima tuwanyooshe.
 
Bado hii sio sababu mbona wazee/wababu walikua wanafanya majukumu mbalimbali na umri wao kwani hakuwaona nyie wanawake? sasa hujiulizi kwa nini hakuna kitabu hata kimoja kwenye Biblia kimeandikwa na mwanamke?? nyie ni kikwazo hapa duniani
basi mjizae mfyuu.. nyie ndiyo vikwazo sisi zamani hatukupewa nafasi katika maeneo mbali mbali ndiyo sababu hatujaonekana sana na pia kuna kitabu cha ESTA kipo
 
Kumbe unaongelea nature sio? basi hamuwezi acha sababu mlizaliwa hivyo.
Sasa kwa sababu tushajua udhaifu wenu na jinsi mlivyo nafsini mwenu psychology works lazima mtutambue.
Lazima tuwanyooshe.
na ukisema unamyoosha mwanamke ni sawa na kupoteza muda wako ... aamue yeye ila siyo uamue wewe
 
Apo vp
 
Attachments

  • 1470470934028.jpg
    1470470934028.jpg
    15.1 KB · Views: 43
Back
Top Bottom