Naomba msamaha my R

Naomba msamaha my R

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,766
Reaction score
2,570
Juzi katika pitapita zangu katika mitandao mbali mbali ndipo nilipokutana na hii nyimbo ya Beyonce if i were a boy ,mara nyingi sipendi kuingia kwenye link ambazo sio dhamira yangu but this link remand me something

Nakumbuka mara nyingi tulikuwa tunatofautiana sana na my mpenzi na tatizo kubwa lilikuwa mimi kukwepa mawasiliano(phone, i was busy all the time), hanging out with friends and drinking beers,kutompa nafasi kama mpenzi wangu hasa kwenye baadhi ya mambo ambayo yeye anatakiwa ndiye awe mpangaji (nilikuwa much know) na pia kumpangia muda wa mimi kuonana na yeye...nilikuwa namtimizia mahitaji yake kama mpenzi wangu pale anapokua na shida mbalimbali hasa za kifedha na kushiriki kwenye problem za kawaida katika familia yao eg.misiba na sherehe.
huko nyuma nilikuwa na historia mbaya kwenye mahusiano ambapo sex was the only thing which i needed from girls, so i hurted so many girls bila kujua (i feel guilt for this and im not proud of it)

Huyu mpenzi wangu R mara nyingi alikuwa ananiambia anaomba siku moja muujiza utokee yeye awe mimi na mimi niwe yeye ili nijue ni jinsi gani anavyoumia na inavyouma hasa pale ninapomwambiaga "nipo tu na washikaji tunakula gambe,huku sauti za kike zikisikika" huku akisisitiza sana hiyo nyimbo ya Beyonce niiangalie na kuisikiliza ,mimi sikumuelewa kabisa na nikabaki na msimamo wangu kwamba "girls always crying for no reason"

Ndipo juzi nikaamua kuingia kwenye hiyo link iliyotokea bila kutarajia na kuiangalia hiyo nyimbo video yake na kuisikiliza kwa makini kutaka kujua R alikuwa anamaanisha nini (ingawa nyimbo ni ya muda),imenifanya nitafakari sana and I'M SO SORRY MY R
 
Huuu wimbo uko ringtone yangu nashindwa kuutoa maana nawish I were a boy even just for a day rolling from the bed in the morning go through where I wanted to go, drinking beers with the guys and chase after girls, would kick with who I wanted to go.... Oooo kumbe naandika nkajua naimba looo
 
Mbona wanaume hatutamani kuwa kama nyinyi??
 
mwanaume utabadilishwaje na nyimbo ?
 
Laiti ningejua uja yakishatokea..!
 
Huuu wimbo uko ringtone yangu nashindwa kuutoa maana nawish I were a boy even just for a day rolling from the bed in the morning go through where I wanted to go, drinking beers with the guys and chase after girls, would kick with who I wanted to go.... Oooo kumbe naandika nkajua naimba looo
Hahahahahah
 
mwanaume utabadilishwaje na nyimbo ?

Hapana sijabadilishwa ila nafikiri unajua kazi ya fasihi ni nini?...na kikubwa nilichofanya hapa ni kuomba msamaha kwa R kwa kile nilichokuwa namfanyia tena baada ya kuona ile nyimbo aliyokuwa ananisisitizia mara nyingi niiangalie.

After all umri nao unaenda and I don't want to do any mistake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom