hizi tiba zimepata umaarufu sana hasa kwa Dar sehem nyingi utakuta matangazo ya dawa za nguvu za kiume na kwenye magazeti ya udaku pia mchezo tukija upande wa kina dada hili suala Limefanya...
Kama mjuavyo kwamba ninao watoto watatu wa mama tofauti,SEAN,TRAVIS na MOUREEN,.sasa hao wa kiume wote wawili nilishawachukua na wapo pale kwa mama yangu mzazi na nimewatafutia house girl.wote...
Habari wana MMU,
Kwa kweli kuna hii tabia ambayo baadhi ya wamama wanaifanya kwa kweli sio nzuri na pia itakugharimu baadae, pindi watoto wakikua. Tabia hii ni ile ya mama kukashifu, kutukàna au...
Hallow wana JF
Labda nianze kwa ufupi,
Ikiwa ni mwaka wa saba tangu nimuoe mke wangu sijawahi hata siku moja kumfahamu mwanamke mwingine, hii ilikuA tangu kuzaliwa kwangu siku mjua mwanamke zaidi...
Nasoma habari ya Dejan Lovren kwa majonzi makubwa kiasi kwamba nafsi yangu imejaa huzuni kubwa mno, Dejan Lovren hakuweza kushiriki michuano ya Euro 2016 sababu aligundua mke wake ana mcheat na...
Habari zenu wakuu,
Mwaka jana tulikuwa tumesafiri kwenda nyanda za juu kusini wakati wa kurudi tulisimama wilaya fulani mjini kwa ajili ya kuongeza maji bahati mbaya tulisahau kufunga mfuniko wa...
Kwa hiyo juzi juzi tu Malia alienda kwenye tamasha la Lollapalooza.
While there she was caught on camera twerking and flashing some of her [meager] goodies.
I think either this year or next...
Inawahusu wanandoa zaidi;
Mojawapo ya faida na umuhimu wa tendo la ndoa hasa kwa wanandoa ni kujenga afya ya mwili na akili pamoja kudumisha upendo katika ndoa au kwa wanandoa.
Ili tendo hilo...
Nina mpenzi ambaye nampenda ila mara yetu ya kwanza kufanya sex alichukua kama dakika 45 kupizi na hata ukichemzea sana swala la kukojoa kwake ni shida sana ila sikuwahi kumuuliza siku chache...
Habari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati...
Habari wana Jf
Kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili hapa Kasulu ambao ulikuwa na ugeni kutoka Marekani wazungu kama 25, mzungu mmoja akatoa ya moyoni mwake anapenda kuwa na mke wa Kiafrica...
ANGALIZO........
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,
yaani SURA KALI....
SHEPU HILOOO...
MIGUU YA UKWELI..
AMESOMA VIZURI..
Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU
jua kuna kitu kimoja tu...
kupenda ni ugonjwa na maumivu ya mapenzi ayajuae ni mpendaji nimempenda mpenzi wangu kiukweli tunapendana kwa dhati sana nilipowatambulisha wazazi walinuna sana na kuniita na kuniambia kuwa kwenye...
“Nimemsikia kila alichokuwa anapanga kufanya siku inayofuata, baada ya kuzungumza kwenye simu akiamini nimelala kwa sababu nilikuwa naumwa na nilipewa dawa nilizopewa ni za usingizi aliamini...
Kuna issue hapa inaniumiza kichwa kuna Mke wa jamaa flani hapa mke wake amegundua tabia za usaliti wa mumewe na baadhi ya matatizo hata mimi nilishuhudia baadhi ya tabia hizo.
Na kaniomba tuonane...
30 Facts about men
#1. Unfaithful men have lower IQs - according to a scientific study
#2. Men spend almost a year of their lives staring at women, a survey found.
#3. Half of all women who die...
Mrejesho;
leo ni siku ya tatu ninafuraha sana ni kuhusu yule kaka niliyekuwa nampenda sana siku kadhaa nyuma nilifanikiwa kumtuma mtu akaniulizie jina lake na hatimaye nikafanikiwa baada ya apo...
So I met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquaintance.
Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida.
Then a couple of months later...
Habari wana JF,
Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.