Nawaogopa Wanawake, walitaka kuniloga lakini wakashindwa

Nawaogopa Wanawake, walitaka kuniloga lakini wakashindwa

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,067
Za leo ndugu,

Kwa uchunguzi wangu nilioufanya asilimia 90% ya wanawake walioko kwenye hamusiano lazima wana dawa au kauchawi kadogo. Matukio mengi ya kufumaniana pochi za wanawake zikifunguliwa huwezi kosa kahirizi au chochote kile kinachoashiria dawa ya uchawi. Nimeona shughuda nyingi.

Na pia pamoja na nimewahi kujaribiwa sana na wanawake ila kwa kua namuwekaga mbele kwanza Mungu huwaga hawafanikiwi, unajua nimewahi kugombana na wawili wakataka waniloge? lakini wakashindwa kila nikipishana nao wanaona aibu tuu na kuangalia chini.

Usione watu wanajinyonga. kuacha shule, ufanisi kushuka kazini, ugomvi wa kila aina na ndugu zao hadi wazazi, mwanaume kumalizia hela zote kwa mwanamke/wanaweke.

Yani hawa viumbe ni complicated sana halafu najua wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani. siku wakianza kugombania mwanaume ndo utajua siri zote nyie kuweni karibu tuu mjue mioyo ya hawa viumbe.

Waganga wengi wachawi wateja wao wakuu ni wanawake nimeona hili kupitia kwa tafiti zangu kwa mda wa miaka kadhaa.

Ndugu nawashauri muache dhambi mumrudie Mungu, yote haya napata ujasiri wa kuwaambia sababu napigwa sana vita na wanawake wanataka kunimaliza leo hii kama sio Mungu ungekuta ukimwi ninao au nimeanguka sana kimaisha.

Najitahidi niachane na wanawake ila sijui kama nitaona kwa kweli.
 
Usiamini katika Uchunguzi, Amini katika Utafiti. Hiyo 90% ya wanawake wachawi sio kweli.

Wapo kweli baadhi ya wanawake wanaamini katika nguvu za kiganga kama limbwata kwa waume zao.

Wanawake huwa ni wepesi sana kumwamini mtu baada ya kumsikiliza hivyo wanatapeliwaga sana hata na Manabii wa uongo
 
Km unawachanganya acha wakuloge,,na mungu ashirikishwi kwenye uzinzi,ipo siku watakupata tu
 
wewe utakua mwanaume wa dar

dawa ya mwanamke ni kumkuna sawa sawa kama ukurutu alafu utuletee mrejesho
 
Kwann urogwe? Mi naamini ukiwa sawa na MUNGU nothing bad can happen to you ila ukipenda kuwachezea wanawake utakuwa kichaa
 
Kwann urogwe? Mi naamini ukiwa sawa na MUNGU nothing bad can happen to you ila ukipenda kuwachezea wanawake utakuwa kichaa
pamoja na uasherati wetu kweli Mungu anatuhurumia? kweni ikitaka upendo wa dhati mfate Mungu hawa wengine ni uchwara tuu.
 
Wakuogopwa ni Mungu pekee na ukikaa nae sawa mambo yote yatakuwa sawa atakulinda atakusimamia na atakuchagulia wakufanana nae!
 
nikipata mwanamke anataka aniroge nitamuongezea hela na nitamsindikiza kwa mganga ili asipate tabu kupata detail zangu
 
Uliwafanya nini mpaka wote wawili wakuloge?? Halafu hamna kitu kibaya kama hofu, kama unaamini Mungu yupo mawazo ya uchawi achana nayo, endelea kumwamini Mungu pekee
 
Tafuta mke uoe wacha uzinzi, hizo zingine hadithi zakufikirika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom