Wakuu,
Naheshimu mkataba wa milele wa ndoa ya kikiristo, na sio mshabiki wa ufahari wa siku moja. Naomba ya jinsi gani nifanye sherehe ya harusi isizidi milioni moja, labda kuna watu wengine walishafanya hivyo. Nahitaji msaada wenu, najua mchanganuo wenu utakuwa msaada kwa wengi pia.
Mungu awabariki sana