and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,121
Kwanza niwapongeze hawa wadogo zetu wanaotusaidia majumbani kiukweli wamekuwa dawa na suluhisho pale ambapo kuna hitilafu katika mahusiano kati ya mume na mke. Kuiko ukatafute mchepuko nje ni bora kumalizana hapo karibu tu ili kuepusha GHARAMA zisizo za lazima na katika mustakabali mzima wa kutunza SIRI. Asanteni sana House girls.