Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,126
- 2,452
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye. Hayo ndio yanayoendelea mpaka leo hapa duniani. Kama unategemea ndugu yako wa damu akusaidie utoke kimaisha basi sahau, huyo atakua mnafiki na atakufanyia kitu mbaya usifanikiwe kumzidi! Ukweli ni ngumu ndugu kukusaidia ufanikiwe kuliko yeye, ni heri marafiki mtatoana.