LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
Wakuu,
Jana mida ya saa mbili usiku wakati natoka mazoezini nimekutana na couple kama mbili tofauti wakiwa wamekumbatiana na huku wakionyeshana mahaba mazito njiani. Wazo likanijia kuwa hii sio mara ya kwanza kuona mapenzi yakipamba moto pindi giza linapoingia.
Hivi kwani haiwezekani mtu umkumbatie mpenzi wako kukiwa kweupe ili wote tuwaone? Yale mapenzi ya gizani huwa yanakuwa ni ya kweli au ndio kuibiana? Kwanini kama mtu unampenda usiuonyeshe umma kuwa mnapendana?