Jamani mwenzenu hali siyo shwari !!
Namwonea huruma huyu mwanaume anayekwenda kumuoa huyu binti ambaye anakwenda kuolewa kwa show off!! Ilikuwa hivi, Mwaka 2010 nilikutana na dada mmoja, single mother. Kipindi hicho nilikuwa mbali na familia kwa muda mrefu kwa sababu za kimasomo. Tulifahamiana katka mazingira ambayo sikutegemea kwa kweli, kumbe yeye alinifahamu ila mimi nilikuwa simfahamu. Baada ya kufahamiana aliniomba namba ya simu na mimi nikampa. Tukawa marafiki wa kawaida. Kilichofuatia ilikuwa ananitumia sms nzuri nzuri za mambo ya Mungu, na maisha kwa ujumla. Baadaye akawa anatuma zile sms za kufowardiana, ikawa sms za kutakiana usiku mwema. Alijua kuwa nakaa alone kwa hiyo hakuogopa sana kunipigia simu na kutuma sms. Bahati mbaya ni kwamba alikuwa anamfahamu mke wangu. Daaah,nakuambia adui yako akiwa anakujua in and out ni sheeeedah!! Usiku akawa ananipigia simu na hapo ndipo niliponaswa na mtego wa huyu mwanamke. Urafiki ukatuponza na kuwa wapenzi.
Mtoto aliye naye sasa hivi anasoma yuko primary school. Alinisimulia kuwa aliteleza tu bahati mbaya enzi za adolescence. Huyu mwanamke Ni mtu mpole, na mwenye adabu sana. Kwa muda wa miaka 5 sijawahi hata kutofautiana naye wala kugombana. Hakuwa mtu wa kupenda kuomba hela hovyo japo alikuwa mtu wa hali ya chini. Ni mtu mchapakazi sana na anajituma sana. Kila jambo alilotaka kufanya alikuwa ananishirikisha na mimi nilikuwa nampa ushauri ili atoke kimaisha. Kiukweli kimaisha hakuwa vizuri. Ila nikimpa ushauri wa biashara au shughuli alikuwa anakwenda kufanya na alikuwa anajua kubana hela kweli. Niligundua kuwa alikuwa mtu aliyeelewa maana ya maisha. Kufupisha kisa hiki......
Wiki tatu zilizopita aliniaga anasafiri kwenda kijijini kwao kuna msiba umetokea. Baada ya msiba akaniambia anapita mji fulani, nilipombana amefuata nini huko, akaniambia tutaongea vizuri baadaye. Nikasubiri, kesho yake akanipigia simu kuniuliza kama niko sehemu nzuri. Tuliongea karibu saa nzima akanieleza ukweli anaenda kuolewa na harusi mwezi wa 8. Nikampongeza kwa hatua yake, yeye akaniambia nisimpongeze kwani hajapenda kuolewa ila mazingira yanamsababisha alazimike tukuolewa. Hoja yake ni kuwa mama yake anamshinikiza, umri unaenda anatamani aitwe Mrs. fulani. Mimi nikasisitiza kuwa tukate mawasiliano tubaki tu kuwa kama kaka na dada. Daaah, yaani alilia machozi akaniapia kuwa haiwezekani tuvunje mahusiano yetu by any means. Wiki iliyopita alikuja akanitafuta sana tuongee. Basi nikakubali tukaenda sehemu tulivu sana.
Tuliongea mengi, ila kuna mambo yamenishtua. Moja, anasema hata akikutana na huyo mchumba wake, hana hisia za kufanya sex mpaka avute hisia kana kwamba yuko na mimi. Anasema utamu anaopata kwangu mpaka mwili unasisimka akivuta hisia ndo anafumba macho amkumbatie huyo bwana wake ndo aje apate momentum ya mechi. Hicho kitu kilinishtua, sana anasema imeshawahi kutokea na nusura aropoke jina langu akiwa katikati ya game. Kila akiongea alikuwa ananilalia kifuani, analia machozi, ananikumbatia kiasi kwamba na mimi nilikuwa napata hisia za maumivu yake. Nilipojaribu kumweleza kuwa inawezekana tu kunisahau, hataki kunielewa. Ananiambia kuwa nimemtoa mbali sana na hajui hatma ya maisha yake ingekuwaje kwa muda wote huu zaidi bila mimi. Wakati mwingine anasema laiti angenifahamu kabla sijaoa, basi na maneno mengi tuu ya kunipamba.
Ukweli ni kuwa mara nyingi amekuwa akisisitiza kuwa bora abaki alivyo asiolewe kama mipango yake ingeenda anavyotaka yeye.
Jamani hapa nawaza mengi na kichwani sipati majibu. Nifanyeje nitumbue jipu hili?