sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 638
- 581
Masaibu wanayo yapitia wanaume ni magumu....
Kodi nikupe..
nikuvishee...
nikulishe.....
nywele nazoo....
kila mwezi emagency....
nikufate na mguu....we ukija kwangu uje na taxiiii tena mi niilipie
naiskiaga baga tu.......napambana ugali maziwa
we ule chips kuku....
aishhhhhhhhh!!!!
utapata mimba tu siku moja