franciz
Member
- Jun 21, 2016
- 32
- 7
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana.
Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani.
Najitaji mwanamke mwenye mtazamo positive kwangu kwaajili ya kuanzisha familia pamoja.
Naamini mke au mume anaweza patkna popote pale panapo kutanisha watu hata hapa pia.
Mwanamke ninae mtaka awe na sifa muhimu anazopaswa kuwa nazo mwanamke anayeweza kutunza nyumba yake vizr pamoja na; ukarimu, uaminifu uwazi, heshima na utayari mengine ya muhimu sana ni awe na elimu angalau ya sekondari, anayejishughulisha na shughuli halali za kumuingizia kipato, mwenye umri kati ya 24 mpaka 34.
Mimi ni muajiliwa wa shirika moja linajishughulisha na shughuli za kuhudumia jamii, masters degree holder, umri miaka34, na mkarimu.
Nakaribisha maoni na michango mbalimbali lkn sipendi matusi na dhihaka.
Kwa walio na uhitaji nawakaribisha pm. Karibuni.