The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 504
- 299
Nooo
ebu weka majibu yako hapa tuaminiKipindi nipo chuo mwaka wa 3 DSM nilikuwa na wasichana wengi sana ila miongoni mwao wawili wamekufa na ngoma, cha kushangaza mimi sijaunasa namaanisha umenikosakosa.
Inanishangaza sana kwani mmoja kuna siku niliuza mechi na pia kuna siku katikati ya shughuli condom ilipasuka na goli la pili nikajikuta nimemwaga nyavuni iyo siku nakumbuka huyo msichana alikuwa na presha na wasiwasi sana maana mienendo yangu na tabia yangu ya uasherati alikuwa anaijua huyo mwingine nilikuwa nikitumia kinga daily sema kuna siku nilipiga kavu kimoja ila ni miaka imepita na nimepima mara kibao nimekuta hollaah.
Ni maajabu ila sometimes kuna miracle labda walipata baada ya kuachana na mimi uwezi tambua.
Kisa hiki nimekikumbuka baada ya kumuona binamu yangu anavyotaabika na UKIMWI yupo kitandani hoi bin taabani analia kama mtoto mdogo wajameni kuweni makini UKIMWI ni hatari.
(Wapumzike kwa amani mahali pema peponi)
NB.
Msichana mmoja kati ya hao wawili alikuwa anasoma ustawi alifariki mwaka juzi nilijua baada ya kuona watu wameposti picha za R.I.P katika social network. Mwingine nilimuona amepostiwa R.I.P kwenye profile picture ya demu mmoja nilikuwa natoka naye kipindi hiko lakini yeye alikuwa ajui. Anyway nafikiria huu ni wakati wa kuachana na michepuko.
Hii ni true story ni ndefu ila huo ndio ufupisho wake
dah asante kwa elimu nzuri ila kuna watu wana damu nzito, mama mmoja kwetu mmewe alikufa kwa ngoma tens ngoma ile ya 90 nilikuwa bado ndogo sana nilimshuhudia huyo baba alikuwa anstoka ngozi mpaka alijenga kaburi lake baada ya miaka 5 hapo ni 98 ndo alifarikiMkuu kuna exception probability kwenye kupata ngoma...Ili mtu apate ngoma inabidi yule HIV ashambulie T-CD4 cells(hizi ni miongoni mwa cell zinazolinda mwili), lakini yule virus ili ashambulie hizi cell inabidi aingilie sehemu maalumu kwenye hizi cell(T-CD4 HIV RECEPTORS). Sasa kuna watu kutokana na mabadiliko ya kigenetic wana ulemavu kwenye hizi receptors za CD4 CELLS. Hii ni mutation kama mutation zinazosababisha ulemavu mwingine wa viungo vya mwili.Matokeo yake yule HIV hawezi kuingilia hizi cell ili akazishambuli kwa kuwa mlango wa kuingilia ni mbovu...watu wenye aina ya hizi cell hawawezi kupata ngoma hata iweje, huyu virus ataingia lakini hatafanya chochote mwishowe atakufa...Kwenye population ya binadamu ni watu wachache mno wenye cell za aina hii...ulifanyika utafiti Ujerumani kubaini watu wa aina hii lakini walipatikana 17 tu!!! siyo ajabu hapa bongo wakawepo na wewe ukawa miongoni...USISAHAU TENA KUTUMIA CONDOM!!!!!
huu ugonjwa mkuu upo akilini haupo mwilini pia ukijua unao jitunze kula vizuri utaishi miaka mingidah asante kwa elimu nzuri ila kuna watu wana damu nzito, mama mmoja kwetu mmewe alikufa kwa ngoma tens ngoma ile ya 90 nilikuwa bado ndogo sana nilimshuhudia huyo baba alikuwa anstoka ngozi mpaka alijenga kaburi lake baada ya miaka 5 hapo ni 98 ndo alifariki
cha ajabu mkewe aliolewa na mmw mwingine wamezaa mtoto mmoja tangu 2002 hadi sasa wako wote mwanamke ni mgonjwa tho haoneshi yaan anajijali sana.
chakushangaza mwanaume amepima mara zaid ya mia hana ukimwi watu wanamwambia aachane na huyo mama anasems hawezi mpaka leo wako wote mungu ni wa ajabu