Ndoa za mkataba ndio kitu gani?

Ndoa za mkataba ndio kitu gani?

JAY BLACK

Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
12
Reaction score
12
Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
 
mkataba ni maelewano na kulipana let say kwamba tunakubariana mie nawewe unizalie mtoto 1 then tunaachana na mtoto hawi wako tena
 
Back
Top Bottom