Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,316
Wapendwa,
Asilimia kubwa ya wanaume walimu ni husband material, wana real love, hawana mambo ya hit and run, hawana usanii, ni watu wana haiba, wenye mioyo ya huruma, wanajua kuangalia familia vizuri, hawana mambo mengi, ni watu watulivu, ni watu wacha Mungu, ni wanaume wa shoka haswaa.
Sasa wewe mwanamke mwenzangu endelea kung'ang'ania hao wa BOT sijui TRA, Loan offficers ambao asilimia kubwa ni masharobaro, wenye nyodo, wako na mambo mengi, mabigwa wa kuigiliza maisha, cheating kibao na mapenzi ya kuigiliza mwisho wa siku umri unakutupa mkono mwalimu kaoa unaanza kujuta.
Mwanamke kumkataa mwanaume mwalimu kwa sababu eti ni mwalimu ni sawa na kupiga teke mfuko wa dhahabu.