delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,003
- 1,279
Mademu wengine wana lawama wakisikia Boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsuta"umekosa nini mwanaume huridhiki, utamaliza nyama bucha Ileile, kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka, kwani haikutoshi hii?"anatokwa povu wakati in reality hakuna anachofanya, anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka kazi yote ufanye wewe.
Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, nafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau
mlango wa banda khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa polee halafu unapewa juisi ya embe huku
unakunwakunwa ulale.
Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "SOGEAHUKO TULALE UNANIBANA"asipochepuka labda ni mhashamu mimi simooo