Swenailie
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 240
- 230
Habarini ndugu zangu,
Nimekuja hapa naiman Kuna wengi ambao wameshajeruhiwa sana na wamekata tamaa tena wengine wanawaza mabaya na hukumu juu ya aliemjeruhi. Lakini nawasihi Kuna nguvu na neema kubwa katika kusamehe. Haijalishi alikupotezea mda kiasi gan Haijalishi alikurudisha nyuma kiuchumi kiasi gan, Haijalishi amesimama katika nafasi ya kukukwamisha mambo yako. Kuna nguvu katika kusamehe nayo inafungua baraka zote nawe utashangaa.
Wengi wameteswa na mapenzi mm nikiwa mmoja wao nilipoachwa na mtu niliempenda niliepiga magoti tarehe ya mwanzo wa mwaka fulan kumuomba Mungu anisaidie huo uhusiano uwe wa milele ila nilikuja kuachwa sikuamini nililia niliapa mambo mabaya. Nilimwambia muhusika namchukia hadi basi niliapa asijesalmiana na mm na niliapa hata niwe hai Au kufa asinikaribie. Siwafichi ilinichukua mda kujiskia sawa maana niliona dunia inanigeukia nahis Kila mtu hanithmini dunian humu. Ila nilipofkia hatua ya kusema imetosha nilijikuta najiskia kumsamehe ili niwe na Aman
Jaman hii kitu imenisaidia sasa ninaraha ninaishi kwa furaha ratiba yangu iko vizuri ninajiskia mtu mpya na baraka za Mungu naziona.
Ewe ulieteseka ukaumia tambua msamaha utakaotoa utakuweka huru. Kumsamehe mtu haikufanyi umrudishe ila inakupa raha hasa pale utakapokuwa na mwenzio mpya utaishi kwa Aman. Usiposamehe hata uhusiano wako mpya unaweza yumba kwan utamuwazia mwenzio maovu ya ulikotoka. Hebu samehe na uanze maisha upya kwa raha
Nawatakia siku njema.