Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Wakati kila uchao watu hawalali kwa ajili ya kutafuta pesa na mambo mengine kuyachukulia kawaida tu, ukweli ni kwamba si vigumu kutajirika ila ni ngumu sana kupata mke safi. Wanawake wengi hawaolewi kwa kuwa wana shida ya kuolewa, bali huolewa kwa kufuata pesa na maisha mazuri.
Ni vigumu sana kupata mwanamke ukiwa katika hali ngumu ya kimaisha halafu akakupenda kama ulivyo. Ndoa nyingi mnazoziona kila leo ni ndoa feki, ni ndoa za uchumi hizo, wanawake ni kama mbwa na nyama, akinusa ni lazima agande, utajidangaya anakupenda kumbe ni hela zako. lla ukibahatika ukapata mwanamke anayekupenda kwa dhati kabisa, nakuhakikishia huwezi kufa maskini.