Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,044
Habari wapendwa,
Namshukuru Mungu kwa uzima nilio nao hadi wakati huu najua na wewe unasababu yako ya kumshukuru Mungu.
Kuna hili jambo mwenzenu linanikera sana kwa makundi haya matatu.
1; WAZEE: Hivi baba zetu na mama zetu ni kwanini mnatutia aibu watoto wenu. Hivi kweli mzee unaenda kuoa kabinti sawa na watoto wako hii ni tamaa ama ni kitu gani hasa mbona Mnajidhalilisha au unakuta mama mtu mzima kaolewa na kijana mdogo sawa na mwanae wa kumzaa alafu hana aibu amtambulisha kwa wanae eti huyu ndo baba yenu hivi akili zenu zipo sawa kweli.
2; VIJANA WA KIUME. Hivi we kijana huna hata haya unaenda kuoa lijimama likubwa la kukuzaa ulicho kikosa ni nini kwa vijana wenzako.?
hivi wala huogopi kulifunua hilo mama?? Laana nyingine hizi mnazitafuta bure tu razi sio mpaka ya mamayako mzazi wapendwa jiuchi la huyo mama ni radhi tosha kabisa.
3: WAKINA DADA: inashangaza we dada na urembo wako wote unaenda kujichanua kwa libaba sawa na babu yako eti kisa ana hela. Unenda unawakuta wanae hata aibu huoni bahati mbaya wengine uliwahi kusoma nao. tafuta vijana wenzako kama maisha mtafanikiwatu na sio kupenda mitelemko kama hiyo unajilaani bure dada huna hata haya mwili wako kutumiwa na lijizee kama hilo?
Tafadhali jamani tubadilike ili kujenga jamii bora.
NI HAYO TU. SAMAHANI KWA WAHUSIKA NILIOWAKWAZA.