Hivi ndivo wanawake wanapewaga mimba

Hivi ndivo wanawake wanapewaga mimba

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,833
Reaction score
6,889
Habari za siku tena wana jamvi

Katika pita pita zangu nimekua nikikusanya data hasa hasa hizi za mahusiano kwa vijana wadogo kuanzia miaka 20-26. Nimekutana na hii kisa kwa nini wasichan wengi wanakuwa wanapewa mimba pasipo mpangilio?
Jibu nililolipata kwa takribani watu 32 limekuwa kama lifuatalo; unakuta unatongoza mwanamke baada ya muda inaanza mizinga ya kudungulia ndege kule Syria. Mwanaume inabidi ukamae naye tu maana huwezi kumuacha kwa sababu atakuona boya mwisho wa siku mtoto anajilengesha kinachofuata ni gemu tena kavu kavu tena na miukwadu juu ili ukomeshe hapa ata condom hawakumbukagi mwisho wa siku kinachofuata ni kibendi. Kuna wengine wanakomaa sema akiona hatua za mwanzo mtoto anazingua anaamua kuachana naye kinachofuata demu akishaona huyu jamaa anamchunia anaamua kukaza ivo ivo na mwisho wa siku ni kibendi.

Sasa kuna wale watoto ambao hata uhangaikagi nao saana mwisho wa siku mwanaume unapewa gemu hapa huwa mara nyingi kondom lazima ukumbuke kwa sababu huyu amenikubali harakaharaka kuna kitu au magonjwa inabidi watumie mbinu nyingine ya kondom. My take kama wewe mdada humpendi mtu mchane livu akikomaa mtukana kabisa akimbie kuliko unamuweka jamaaa kiporo siku akiipata hiyo jicho pori lazima mimba ije tu maaana hawatumiagi ndomu kwa kujua wewe sio mgawaji

asanteni
 
Habari za siku tena wana jamvi

My take kama wewe mdada humpendi mtu mchane livu akikomaa mtukana kabisa akimbie kuliko unamuweka jamaaa kiporo siku akiipata hiyo jicho pori lazima mimba ije tu maaana hawatumiagi ndomu kwa kujua wewe sio mgawaji

asanteni
Mh!
 
mtukana kabisa akimbie kuliko unamuweka jamaaa kiporo
Sisi wanawake tunajua mwanaume hatukanwi
Kubeba mimba ni maamuzi mana mzunguko wa siku tunaujua wenyewe so naweza nika fake ninamimba ili unipe hela.
 
Back
Top Bottom