jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,226
- 2,901
Nikweli kua pombe inaweza kukupatia mke au mume bora?!,maana nilisikia kwa mtu mmoja anasema mlevi akiongea jambo linatoka moja kwa moja moyoni(hilo mi sijui maana situmii) ,nikipata mwanamke bar akiwa amelewa akanitamkia ananipenda atakuwa amemaanisha?