Magufuli kasababisha nikosane na demu wangu

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Wakuu,

Hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara saa mbili ikafika tukiwa tumekaa sebuleni tukafungua news ITV,sasa si unajua kipindi hiki Ni cha kampeni news ya kwanza ilikua lowasa ee bwana eee mimi sinamfagilia huyu jamaa na ukawa?

Nikaonyesha furaha yangu jamaa alivyojaza nyomi!haaa mwenzangu si akaanza kuponda,anamfagilia Magufuli,kama masihara tumebishana mpaka ukawa ugomvi na msosi akagoma kula,nikashikwa na hasira kwa nini hali chakula na nimekitoa mbali,na mimi nikasema kama mbwai acha iwe mbwai nikamwambia hata ukisusa nakula mpaka kiishe unafikiri hela nimeokota?

Wakuu ni kama nimemwagia petrol kwenye moto si ashikwa hasira akatoka na kubamiza mlango akaenda kwake.kwakweli hapa nilipo ninahasira mbaya sana sijui usiku huu utakuchaje! Magufuli ninahasira na wewe sana hata kama unaingiaga hapa Jf habari ndo hiyo sikupi kura yangu.

Jembe afrika
 
Lowasa ndo chanzo cha hayo yote! isingekuja habari inayomhusu asingeanza msifia magufuri wake,,.
Pili: punguzeni mihemko isiyo na faida kwa wakati husika chuki na hasira kwa mambo madogo kama hayo haifai

poleni sana!
 
Hahahahah! Huyo dem anaenda kwa mwanaume mwingine unacheza na techniques za wanadada wa leo tena ukikuta ni sister doo umeliwa msela wangu. Hapo anaenda kupakuliwa na msela mwingine ili apunguze hasira then kesho anakupigia simu akiwa na furaha ana akikuita dear I'm sorry, ilikuwa ni hasira tuu Kudadadeki na wew unajiingiza mkenge Jembe Africa
 
Last edited by a moderator:

wewe ndo unafanyaga au unafanywa hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ndo chanzo cha hayo yote! isingekuja habari inayomhusu asingeanza msifia magufuri wake,,.
Pili: punguzeni mihemko isiyo na faida kwa wakati husika chuki na hasira kwa mambo madogo kama hayo haifai

poleni sana!

Asante rubii
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu wote wawili mnapenda ushabiki utafikiri baada ya Oktoba 25 hakuna maisha tena. Achaneni huu upuuzi siasa angalieni maisha yenu wenzenu wale wanatafuta nafasi ya kutafuna na kujiweka vizuri na familia zao.

Asante mkuu ila Roho inauma
 
Wakuu hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara saa mbili ikafika tukiwa tumekaa sebuleni tukafungua news ITV,sasa si unajua kipindi hiki Ni cha kampeni news ya kwanza ilikua lowasa ee bwana eee mimi sinamfagilia huyu jamaa na ukawa?nikaonyesha furaha yangu jamaa alivyojaza nyomi!haaa mwenzangu si akaanza kuponda,anamfagilia magufuli,kama masihara tumebishana mpaka ukawa ugomvi na msosi akagoma kula,nikashikwa na hasira kwa nini hali chakula na nimekitoa mbali,na mimi nikasema kama mbwai acha iwe mbwai nikamwambia hata ukisusa nakula mpaka kiishe unafikiri hela nimeokota?wakuu Ni kama nimemwagia petrol kwenye moto si ashikwa hasira akatoka na kubamiza mlango akaenda kwake.kwakweli hapa nilipo ninahasira mbaya sana sijui usiku huu utakuchaje!magufuli ninahasira na wewe sana hata kama unaingiaga hapa jf habari ndo hiyo sikupi kura yangu.
Jembe afrika
Pumbavu na lofa wewe
 
Si ulimwambia kama mbwai iwe mbwai sasa roho yakuumia nini jamani?
Kula chakula chako maliza chote chukua picha ya lowasa mkumbatie lala

Nimekosa papuchi kizembe sana na nilikua nimeivutia kasi kinoma
 
Wakuu hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara saa mbili ikafika tukiwa tumekaa sebuleni tukafungua news ITV,sasa si unajua kipindi hiki Ni cha kampeni news ya kwanza ilikua lowasa ee bwana eee mimi sinamfagilia huyu jamaa na ukawa?nikaonyesha furaha yangu jamaa alivyojaza nyomi!haaa mwenzangu si akaanza kuponda,anamfagilia magufuli,kama masihara tumebishana mpaka ukawa ugomvi na msosi akagoma kula,nikashikwa na hasira kwa nini hali chakula na nimekitoa mbali,na mimi nikasema kama mbwai acha iwe mbwai nikamwambia hata ukisusa nakula mpaka kiishe unafikiri hela nimeokota?wakuu Ni kama nimemwagia petrol kwenye moto si ashikwa hasira akatoka na kubamiza mlango akaenda kwake.kwakweli hapa nilipo ninahasira mbaya sana sijui usiku huu utakuchaje!magufuli ninahasira na wewe sana hata kama unaingiaga hapa jf habari ndo hiyo sikupi kura yangu.
Jembe afrika

Hiyo title ya habari sema "Lowassa"
 
Back
Top Bottom