Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha


M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Messages
148
Likes
9
Points
35
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined Jan 5, 2014
148 9 35
Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
12,399
Likes
35,458
Points
280
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
12,399 35,458 280
Dah kupima nimekupenda bure safi sana IN GOD WE BELIVE!
mm ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiliwa wa serikali naitaji mwenza wa kuowana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima vvu naomba aliyetayari anipm
Mkuu mwali huyo hapo, kazo kwako kutimiza ahadi
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,266
Likes
2,936
Points
280
Age
33
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,266 2,936 280
Asee wasichana kazi sana kupatikana kumbe? Siku nzima uzi komenti 6
 
James Uronu

James Uronu

Verified Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
193
Likes
63
Points
45
Age
27
James Uronu

James Uronu

Verified Member
Joined Jan 26, 2013
193 63 45
Ukipata wengi unipm mmoja
 
maxime

maxime

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,246
Likes
577
Points
280
maxime

maxime

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,246 577 280
Umesema hubagui dini wala kabila ila umesahau sura na umbo.... mademu wazuri wengi wanatokewa. Labda malaya
 
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Messages
148
Likes
9
Points
35
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined Jan 5, 2014
148 9 35
mkuu mm siangalii uzuri ukitaka uzuri utakuwa unatafuta mamic sasa
 
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Messages
148
Likes
9
Points
35
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined Jan 5, 2014
148 9 35
jamani nashukuru nazidi kupokea maombi naiman nikimpata wa kweli nitamuweka hapa ila mchakato upo ukingon na ndoa itakuwa ndani ya uhuu mwaka
 
C

Cute shy

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Messages
949
Likes
990
Points
180
C

Cute shy

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2015
949 990 180
jamani nashukuru nazidi kupokea maombi naiman nikimpata wa kweli nitamuweka hapa ila mchakato upo ukingon na ndoa itakuwa ndani ya uhuu mwaka
Jamani nilikuwa sijaona huu uzi, zoezi limeisha?
 
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Messages
148
Likes
9
Points
35
M

mjasiliamali14

Senior Member
Joined Jan 5, 2014
148 9 35
halijaisha cute shy bado linaendelea ww tuma maombi tu utajibiwa
 
Kaveli

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
3,457
Likes
2,909
Points
280
Kaveli

Kaveli

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
3,457 2,909 280
kwahiyo wewe & huyo 'msichana'... maisha mtayafunga pingu?
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
unipe tenda ya kukutengenezea keki, kadi na kukupambia ukumbini ukimpata huyo unayemtafuta mtandaoni ila angalia hapa utaumizwa
 

Forum statistics

Threads 1,235,851
Members 474,755
Posts 29,238,473