Nachukia umbo langu

Nachukia umbo langu

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Yani mimi ni mfupi sana, pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi, ila nawapenda wasichana warefu sana, kinachonisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

Hivi kwanini wasichana hamnipendi mimi?
 
Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Jipende,jiamini,jiweke msafi,fanya kazi kwa bidii utapendwa tu.ASAP
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Sio amfate mshana amrekebishie yale mavituz ya kwere kwere hirizi kiunoni..?
ha ha ha it's just a joke!
 
Kunywa dawa kama zile wanazokunywa vijana wengi kurefusha mihogo ya jang'ombe hakika utarefuka na utapendwa sana..
 
Uwe unalala mchana kutwa kucha wewe na njia tu utarefuka saa ngapi? Leo jumapili lala hata masaa m3!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Eeeeeeh!!!
 
Kunywa dawa kama zile wanazokunywa vijana wengi kurefusha mihogo ya jang'ombe hakika utarefuka na utapendwa sana..
Hivi Kumbe Dawa zinanywewa, sasa utatofautishaje kwamba kunywa huku kirefuke kiungo fulani au mwili mzima?
 
Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Ivi ufupi ndio sababu au kuna zaidi?
 
Back
Top Bottom