Wadada mnaotongozwa gizani amkeni

Wadada mnaotongozwa gizani amkeni

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Aisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu.

Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama baada ya matatizo au shida ni wazi kabisa kutongoza au kutongozwa gizani ni laana na mtaishia kuchezeana tu.

Jambo jema hufanyika nuruni yaani kwenye mwanga kabisa na wala si kujificha ficha utafikiri mnapanga mipango ya kuiba.

Dada, kaka amkeni acheni kulitumia giza kama ndio kirahisishi cha kudanganyana.
 
wanaotongoza gizani hawana tofauti na wanaotongozea kwenye simu,zamani tulikua tunamaliza uso kwa uso!
 
Sometimes soo kumdanganya mtu huku unamuona acha tu tuwadanganyie gizani
 
Aisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu.

Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama baada ya matatizo au shida ,ni wazi kabisa kutongoza au kutongozwa gizani ni laana na mtaishia kuchezeana tu.

Jambo jema hufanyika Nuruni yaani kwenye mwanga kabisa na wala si kujificha ficha utafikiri mnapanga mipango ya kuiba.

Dada ,kaka amkeni acheni kulitumia giza kama ndio kirahisishi cha kudanganyana.
kama hakuna umeme wafanyaje sasa
 
Kwan mwalimu wao keshatoka CCBRT?
 
Hapo umenisema mimi aisehhh maana mimi usiku ndo mission possible
 
Back
Top Bottom