AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
Wapendwa wa MMU nawasalimu with Love,
Katika ulimwengu wa utongozaji mambo yamebadilika sasa to the extent hata akina dada/mama huwa tunajilipua once in a while. Ila ukweli unabaki bado kwa kiasi kikubwa wanao ongoza kutongoza ni akina kaka/baba. Na katika kutongoza huko wengi huwa na sababu mbali mbali za kumtongoza huyo mtongozwaji.
Zinazofuata ni sababu hizo zinazomfanya huyo kaka/baba afanye maamuzi na kufanyia kazi malengo yake ya kumpata huyo anae kuwa kadaka jicho lake. Hizi ni sababu tokana na mtazamo wangu, hivyo unaweza kukubaliana/kataliana/ongeza na pia toa maoni ili tuweze elimishana zaidi.
Anakujaribu
Ni mara nyingi nimesikia kaka/baba zetu wakiweka wazi kukubaliwa na mwanamke aliye mtongoza na kukubaliwa bila kutarajia. Ni kuwa just for the sake of it, mazingira yanakuwa yanaruhusu anajikuta kutongoza kwa kujifurahisha.
Kakutamani
Hii ndio sababu inayo ongoza kwa sababu zote za akina baba/kaka kutogoza. Uzuri, Urembo, Mvuto wa dada/mama husika hucheza nafasi kubwa ya mtongozaji kuvutiwa hadi akataka kuwa na wewe. Hii hutokana na ukweli kuwa kiasi kikubwa cha wanaume anapotongoza malengo yake inakuwa kukupata na kuweza kufanya sex na mwanamke huyo. Hata hivyo vivutio vimetofautiana, kuna wale wanafutiwa na miguu, wengine sura, wengine midomo na wengine weengi makalio (kwa kaka/baba zetu hawa wa kibongo).
Kakupenda
Hii ni mara chache, mara nyingi kigezo cha kwanza mwanaume kutongoza huwa kuvutiwa na huyo mwanamke then kupenda kunakuja baadae. Hata hivyo kuna exceptions; mfano kama vile huyo mwanaume anapokuwa yupo mahala ambapo anakutana na huyo dada mara kwa mara. Siku ya kwanza alipo muona hakuwa na wazo kabisa la kumtongoza, ila with time kwa kuendelea kumuona pengine hata kwa kuendelea kuwasiliana kama wana mazoea anajikuta kampenda tokana na tabia or sababu zozote zile alizonazo hivyo kuamua kutongoza. Hii sababu ina probability kubwa ya kuishia kwenye ndoa.
Ana ngunge (Horny) Anahitaji pa kupooza haraka
Ana hitaji kwenda kupoza hamu ya ngune alilo nalo. Pengine anakuwa hajakutana na mwanamke muda mrefu for what ever reason, na hivyo huyo mtongozwaji ndiyo akaonekana chaguo zuri la kuweza kuubali haraka bila uchelewefu wa kwenda kubanjuka. Mara nyingi hii hutokea kwa mwanamke ambae ni kazi yake hio (yaani dada poa) OR yule anayejulikana mtaani kama mama Huruma.
Wa ku beep
Huyu ni aina ya yule mwanaume ambae hayupo committed. Yeye siku zote anakuhitaji wewe siku akitaka kukutana kimwili. Yaani mara nyingi anacheza na hisia zako.. Anakuwa anakujua vema… Namna ya kukuweka sawa, namna ya kuahakikisha huna wasi wasi juu yake na namna ambavyo kukutana na wewe ni lazima siku ambayo anataka kufanya na wewe uone kawaida. Anaweza akawa hata na galfriend/mke huko but akawa na mwingine kwa ajili ya sex tu.
Kukuoa
Hii utokea pale mwanaume anapokuta mwanamke katimiza vigezo anavyotaka kwa mke wake, kama vile utulivu, upole, usafi, aina ya kazi n. k. Inakuwa kamjua tabia yake (iwe kwa muda mrefu ama mfupi) na zikamvutia kutaka kuwa nae kwa muda mrefu zaidi tena kama mke na mume kabisa. Hii ni mara chache, mwanaume huja mpole sana, sex inakuwa si priority sana. Yupo haraka kutaka kukufahamu zaidi wewe na familia yako na anakuwa na bidii ya kutaka kuhakikisha hata upate mimba mara moja.
Mahusiano
Huyu anapenda kuwa safe. Anataka mwanamke wa kuwa nae pamoja kama partner, awe rafiki, waweze kukutana kimwili na wawe waaminifu. Mara nyingi anakuwa kalenga wewe ndio uwe the special lady. Hata ikitokea ana wengine mwisho wa siku huyo mwanamke wa kujenga nae mahusiano anakuwa makini zaidi na invest zaidi katika huo uhusiano.. Mara nyingi ikienda vizuri hata huishia katika ndoa.
Kukuchuna
Huyu mwanaume anataka mwanamke anae onekana una uwezo wa kujikimu kila kitu. Unaonekana independent na huoni taabu kum support mwanaume. Hivyo hutaka wepesi… Haoni taabu siku ya kwanza mmetoka ama siku zingine zote wewe ukitop up the bill ziku zote. Kwake anakuwa so set on enjoying bila kujali partnership ya kweli katika mahusiano hayo.
Kukuzalisha
Hii ni nadra.. Siku hizi kaka/baba zetu anakutamkia kabisa… Hasa hawa ambao hawataki ku commit na kuoa. Ma senior bachelors. Inafika wakati anajua kabisa mke sitaki, but nataka niwe na mtoto so the shortcut anatafuta mwanamke mwenye mwelekeo wa kuwa mama mzuri, tena kwa kiasi kikubwa awe anajiweza kuweza kulea mtoto na anakushawishi ubebe mimba. Pengine hata kwa uongo wa nitakuoa. Thou hii ni wachache sana.
Wa kuzugia
Mwanaume wa namna hii ni yule anataka mwanamke kwa sababu si ya dhati. Kwa kiasi kikubwa anakuwa na huyo mtu kwa sababu maalum. Mfano; anaweza kuwa yupo gay, hayupo tayari sexuality yake ijulikane hivyo anatongoza mwanamke wa kuwa nae (wengine hata kuoa kabisa) ili nae aonekana ana mwanamke na hivyo mwanaume wa kawaida katika macho ya watu.
Ujumbe kwa akina dada/mama wenzangu:-
Kuna wakati ni mtihani kujua mwanaume anakutongoza kwa ajili gani. Ila siku zote tunacheza na insticts na pengine kuingia katika mahusiano kana kwamba wacheza kamali. All in all kuna wale ambao wapo so obvious na ni rahsi kujua sababu ya yeye kukutongoza. Faida ya kujua hilo ni wewe kutoa maamuzi kama upo tayari uwe nae kwa vigezo ambavyo vimemfanya aje kwako.
Naomba michango yenu ladies and Gentlemen. Nawategemea.
Pamoja saana,:grouphug:
AshaDii.
Sababu zingine Courtesy of SMU...

AshaDii , habari za siku? Mimi niongezee haya;
1. "Ego": Kuna wakati inatokea pia "tunatongoza" (naamini kutongoza kunapungua sana siku hizi!!🙂) kwa sababu muhusika 'kajilengesha' na hatutaki kuonekana pengine ni "majoka ya kibisa"! Pengine,technically, hii ndio hiyo unayosema mwanamke amekutongoza. Nilienda saluni juzi kunyolewa ndevu, baada ya kunyolewa nikaingia 'chumbani' kuoshwa na madada wa saluni akawa ananichana nywele na kuweka nyusi zangu vizuri huku akinitizama usoni kwa kurembua na kusema kwa sauti ya kunong'oneza "mimi nipo fresh".......to me this was an invitation lakini nilikubali kuonekana "nyoka wa kibisa" nikajifanya sijamsikia/sijamwelewa!
2. "Tasting": Hii inafanana kwa kiasi na hiyo ya kutamani ingawa ni tofauti kidogo. Hapa nakuwa ama nataka "kuonja" ili nijue mwanamke wa aina fulani yukoje (kwa mifano tu, - wa kimasai, mwanake mnene/mwembaba, wa kizungu/kiafrika, wa kisomali. Niliwahi kuwa na demu wa kiholanzi mwaka fulani, naamini hii ilikuwa ni sababu mojawapo ingawa ilichangiwa na hiyo ya 1 hapo juu (au tuseme tulikutana wote tukisukumwa na sababu hii ya 2!:tape2🙂.
3. "Proof": Hii inataka kufanana na hizo mbili hapo juu lakini kwa kuwa hapa unataka ku-prove kitu fulani. Inaweza kuwa unataka kuonesha (kwa wanaume wenzie au kundi lako) kuwa hata wewe unaweza 'kuwinda na kupata kitoweo'. Inaweza pia kuwa unataka kuprove maneno ya watu au stereotypes fulani katika jamii (kwa mfano: wanawake wa kimakonde wanasifika kwa kukata kiuno, wanawake wa kichaga ni vigumu kuwapata, wanawake wa kipare ni rahisi kuwapata, wanawake wa kihaya/kitusi wanatoa/rusha maji nk nk:banplease🙂.
4. "Strategic": Hapa unatongoza au kutaka mahusiano na mwanamke ili kupata kitu au matokeo fulani ambayo hayahusiani kabisa na mapenzi kwa muhusika. Hili linaonekana zaidi kwa kina dada (maeneo ya kazini kwa mfano ili kupata uhakika wa ajira, kupandishwa cheo/mshahara nk) lakini hata kwa wanaume lipo sana. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anataka kumuacha girlfriend wake kwa sababu fulani lakini hakuwa tayari kusema ukweli. So alichofanya, aliamua kumtongoza na kutembea na rafiki yake wa karibu na uhusiano ukafa kirahisi tu!:heh:
habari yako dada AshaDii, nami niongezee sababu nyingine:
1: Kijamii: umempeleka nyumbani mtu unayempenda lakini familia yako na ndugu zako (hasa wazazi/mawifi) hawamkubali huo mpenzi wako kwa vile haja-meet criterias 1,2,3 ... hivyo basi itakulazimu (kama akili zako ni za kushikiwa) kuanza kutafuta mtu aliye na vigezo 1,2,3 ... ingawa hii hautoli-admit in the first place kuogopa kuonekana wewe ni wapi ... but utalitekeleza involuntarily as time goes!
2: Stress/Psychological torture - Mwanaume anapokuwa na manyanyaso sana toka kwa mwenza wake/mke, mara nyingi huwa na msongo mkubwa sana wa kimawazo, na hii hupelekea kupoteza furaha na hamasa ya kimapenzi kwa mwenziwe, na matokeo yake hupelekea 1. kutafuta pango la kupunguzia stress zake (kuliwazwa) na au 2. kuwa mlevi na hivyo kuwa prone kupata mtu wa kupunguza stress naye .... ("nani kamwaga pombe yangu style ..." kwenye bars/pubs!)
pia swahiba, kwa mtazamo wangu, sababu hizo hapo chini ni more or less the same.