Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,782
Reaction score
4,118
Amani iwe nanyi wana- JF nyote,

Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu.

Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa miaka 25 hivyo shemeji/wifi yenu angekua chini yangu kidogo kiumri.

Baada ya kupata mchumba na kutangaza nia pande zote niliamua kuvuta muda ili niweze kumsoma vizuri. Nilimnunulia smart 4n ili tuweze kuwasiliana vizuri pamoja na vitu vingine vilivyopo ndani ya uwezo wangu.

Changamoto nilizokumbana nazo ni suala zima la uaminifu katika uhusiano wetu. Nimegundua akiwa na mahusiano na wanaume kadhaa wanaoishi kijijini kwao na huwasiliana kwa kutumia simu niliyomnunulia.

Pamoja na mimi kufahamika kwao na kupata heshima kubwa sana ila binti huyu anashindwa kutulia na kuanza kuijenga familia yake vyema.

Nimejaribu kutafiti rika hili la mabinti na kugundua wengi wao bado wanaongozwa na tamaa zaidi kuliko malengo.
 
Muombe mungu ili akufanyie wepesi na upate mke mwema.
Kwenye kuoa au kuolewa hakuna mjanja.
Hauwezi mjua kitabia mtu ambae mmezaliwa na kukulia katika mazingira tofauti.
Kwa hili hakuna mjanja amini nakuambia.......
 
ukimchunguza sana bata huwezi kumla. ongea nae umweleze hisia zako kuwa unampenda na una malengo nae, umweleze kuwa umegundua ana mahusiano na wanaume wengine kama hana malengo na wewe yeye pia aseme bado mapema akiwa mwenye busara atakuelewa mkuu. huu mchezo hauhitaji hasira
 
Human JF! Luna wengine wanatuambia kuanzia 26 tumezeeka, Afadhali we we umejifunza from experience..... Huo umri binti anakuwa bado hajajua anacho kitaka, hajui tofauti ya maisha ya boyfriend/girlfriend na ndoa...... Lakini kuanzia 26, binti anakuwa kajitambua, anajua thamani yake, anaweza kujiendesha mwenyewe kiuchumi nk........ Lara Alisha kuju a thread hapa kuwa Life begins at thirty, walio muelewa walimuelewa, na waliomponda walimponda.......But late twenties naona ndiyo umri sahihi kwa binti kuingia kwenye ndoa. Nawasilisha
 
Sidhani kama tabia ya ku-mess up na mahusiano ni tatizo la hiyo age (chini ya miaka 25) uliyosema.

Hapo umekariri mkuu. Hiyo haina kanuni. Just endeavor to do your homework pretty well mkuu. Wapo hata late 30s au above 40yrs lakini bado ni vimeo ile mbaya. Pia muombe Mungu wako akuongoze!!!
 
hua nasema Mke/Mme mwema unamjua ukisha ishi nae(funga nae ndoa)
kabla ya hapo hamna ujanja wa kuwatofautisha, japo wapo wasio weza kuigiza kabla ya ndoa ukiwachunguza unaona kabisa hawafai,ila sasa lipo kundi kubwa sana la waigizaji mtaani wanakosa LED camera tu.
utajua mbivu na mbichi mkiwa ndani teyali
 
Human JF! Luna wengine wanatuambia kuanzia 26 tumezeeka, Afadhali we we umejifunza from experience..... Huo umri binti anakuwa bado hajajua anacho kitaka, hajui tofauti ya maisha ya boyfriend/girlfriend na ndoa...... Lakini kuanzia 26, binti anakuwa kajitambua, anajua thamani yake, anaweza kujiendesha mwenyewe kiuchumi nk........ Lara Alisha kuju a thread hapa kuwa Life begins at thirty, walio muelewa walimuelewa, na waliomponda walimponda.......But late twenties naona ndiyo umri sahihi kwa binti kuingia kwenye ndoa. Nawasilisha
Parfct..
 
Pole sana mkuu ila hakuna uhusiano kati ya umri na kutotulia kuna mabinti wapo under 18 ila wametulia sana
 
Under 18 naye anatabirika??!! Ni kweli kuwa wanawake wenye umri mdogo hawafai kupanga nao maisha.

Tudem twa chuo twingi hatujui hata kutofautisha ndoto na maisha halisi, sasa wewe jichanganye mzima mzima wakutie adabu
 
Amani iwe nanyi wana- JF nyote,

Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu.

Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa miaka 25 hivyo shemeji/wifi yenu angekua chini yangu kidogo kiumri.

Baada ya kupata mchumba na kutangaza nia pande zote niliamua kuvuta muda ili niweze kumsoma vizuri. Nilimnunulia smart 4n ili tuweze kuwasiliana vizuri pamoja na vitu vingine vilivyopo ndani ya uwezo wangu.

Changamoto nilizokumbana nazo ni suala zima la uaminifu katika uhusiano wetu. Nimegundua akiwa na mahusiano na wanaume kadhaa wanaoishi kijijini kwao na huwasiliana kwa kutumia simu niliyomnunulia.

Pamoja na mimi kufahamika kwao na kupata heshima kubwa sana ila binti huyu anashindwa kutulia na kuanza kuijenga familia yake vyema.

Nimejaribu kutafiti rika hili la mabinti na kugundua wengi wao bado wanaongozwa na tamaa zaidi kuliko malengo.
Kuna wenye umri wa under 25 na wametulia..

Kuna wenye above 30 ni waruwaru wa kutupa..

Kutulia kwa binti kunategemea na malezi aliyokulia pamoja jamii anazochangamana nazo.
 
Lakini under 25 ni mtihani sana mtani. Mimi nipo sensitive sana kwenye umri, siamini kuwa mdada under 25 wa kizazi hiki anaweza kutulia kwenye ndoa, siamini kabisa labda 0.1%. Hawa ambao wana 20yrs hawajui hata kazi ndogo ndogo za nyumbani...naah!
 
Wapo mtani wangu, nina mifano ya karibu sana,japo michache,pengine ndiyo hiyo 0.1%
 
Under 18 naye anatabirika??!! Ni kweli kuwa wanawake wenye umri mdogo hawafai kupanga nao maisha.

Tudem twa chuo twingi hatujui hata kutofautisha ndoto na maisha halisi, sasa wewe jichanganye mzima mzima wakutie adabu
Inategemea na position yako kimaisha, kama umemaliza kusoma, umekamata kitengo, ukioa binti wa 20-24 unamlea mwenyewe, amezawadiwa na Mungu, kwani umemsomea yeye.
Kama una dream kubwa za maisha ni vizuri kuoa age mate wako, mtapanga mikakati pamoja.

Ukishaona shule ulidunda na maisha uliyoyapanga hayaji, tafuta aliyefiwa na mke/mume au aliyechelewa kuoa mwenye life yake equation inabalance.
 
Mimi nishawahi somesha kabinti chuo, tena nilikakuta kanasoma diploma nikakafanyia mpango kakaanza bachelor bila hata boom, kaliishia kunivuruga mzee mzima kidogo nipagawe ila nikayamaliza kimya kimya.

Mwingine wa age hizo hizo nikamuweka kinyumba kabisa, kuna marafiki walinionya ila nikawa siwaelewi, labda kwa vile kalikuwa kazuri utafikiri kamechorwa, huyu naye nikam surrender..

Kitu common kwa hao wote, mtoto ni mtoto tu hadi akue, akomae. Baadae nilihamia kwa wazee wenzangu, hao kwa kweli hata mkivurugana unaona kabisa it was reasonable.

Partner anatakiwa naye atake kuwa kwenye relationship, lakini hutu tudogo twetu mara nyingi sio hivyo. Wewe uko siriaz, mwenzio yuko kwenye fasheni... what would u do?
 
Back
Top Bottom