Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

genious wa kijiji

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
173
Reaction score
250
Wakuu nawasalimu,

Mimi ni mwanaume ambaye nimekata tamaa. Maisha ya kuwa single yamenichosha na kila nikitafuta mpenzi hakai sana bali ananiacha na kwenda zako. Nipo vizuri kustahili kupata mpenzi mzuri lakini sina bahati ktk hilo.

Kwa mantiki hiyo natafuta mpenzi nami nijisikie mwanaume kati ya wanaume . siangalii sura, tabia , elimu, shepu, chura, au pesa. As long as ni mwanamke wa 18-22yrs na awe msingida.

Aliye tayari ani pm tuyajenge.
 
Wanawake wa Singida ni noma sana.Hawadumu kwenye mahusiano/ndoa, kama wakiolewa wanashika mahari mkononi siku ukatokea mkwaruzano kidogo tu, anakurudishia na kusepa zake.Wakati wanawake wengine wanachepuka kwa dharura, wao kwao kuchepuka ni moja kati ya survival traits.Kama mtoa mada ndo una watarget hao, basi una haki ya kusema una mikosi...Nimeshuhudia ndoa zao nyingi zikivunjika ukilinganisha na za wanawake wa maeneo mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom