Jamani naomba ushauri, nimezaa na mke wangu watoto wawili, tumezaa mtoto wa mwisho 2008. Miaka yote nikifanya mapenzi naye huwa namwaga nje ili kuzuia mimba. Kuna kipindi alienda kwao kama wiki...
Wasifu wangu
Age 32,Elimu chuo kikuu, kazi - nimejiajiri, nko dar,
Sifa za mchumba wa kike
Age 28 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.
Njoo PM mchumba...
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.
Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo...
Mapenzi yana siri kubwa. Kila mmoja ana ugonjwa wake wa kupenda. Wengine wanawapenda wapenzi warefu, lakini kuna kundi ambalo huchanganyikiwa zaidi kwa wafupi.Pamoja na mchanganuo huo, kuachwa...
Nina matukio mawili ambayo kamwe siwezi kuyasau maishani mwangu
La kwanza ni kwamba ilikuwa msiba ukitokea MTU anatumwa kwa baiskeli kupeleka taarifa kwa ndugu wa mbali,mwaka 1996 nikiwa std...
Ulikuwa na mpenzi wako, unampenda sana, unamjali lakini pasipo kutegemea akakupiga kibuti tena kwa dharau sana. ... Ukatulia tu!
Baada ya muda ukasikia kwamba huko alikokimbilia amepigwa kibuti...
Hi
I am a man aged 23 years old. I am a Tanzanian. I am still attending my studies at a certain institute here at DSM. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated...
Ndugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,
Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo...
Nyie Wadada mnaovaa makalio ya Bandia wakati
mnajua kabisa huku nyuma una BAPA,mnapataje
shida muda wa 'mahanjumati' kuyaficha hayo
magodoro yenu na kuogopa kuombwa Doggy???
Maana aliona MTUNO...
Habari za muda huu wanajamii?? Leo nimekuja kuomba namna ya kumshauri huyu rafiki yangu hapa kazini kwetu. Nina rafiki yangu mmoja (girlfriend wa kawaida tu) na pia ni mke wa mtu.
sasa tangu...
Wakuu habari ya wakati huu.
Naomba kujua hivi ni kweli ma gold diggers huwa wana fall in love kwa mtu katika maisha yao? Maana mimi huwa naona akili yao iko kwenye pesa zaidi kuliko mapenzi...
Habari wapendwa wangu,
Mimi nipo hapa sihitaji ushauri ila nataka niwasimulie kidogo lililonitokee, sababu sijamwambia mtu imenibidi niwadokezee.
Mimi ni mama wa watoto 2 na nimeolewa na ndoa...
Tulipendana sanaaaa since 2012
Ila alianza kubadilika alipoenda kusomea nursing na kilikuwa chuo cha boarding, kumbe huko alikuwa anatoka kimapenzi na mwanaume mwengine ambaye ni mme wa mtu...
Nilikuwa nipo kwenye misafara yangu ya kikazi nikipanda ndege ya shirika moja maarufu la duniani kwa usafiri wa vyombo vya angani (jina tutalistahi), nikisafiri toka jiji moja la taila la ulaya...
Jamaa na rafiki yangu nafanyanae kazi katika ofisi moja, aghalabu uenda nyumbani kwake kupata chakula cha mchana kwakuwa anakaa jirani sana na ofisi yetu. Juzi tulipata lunch pale kwake kisha...
Inasemekana endapo utakutana na Mtoto wa Kike awe Msichana ambaye bado haja vunja ungo ila anakaribia au Mwanamke mkomavu tayari ( Mtu mzima ) akiwa hawezi kuyafanya haya nitakayo yaorodhesha hapa...
MSIFIE MWENZAKO
Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano...
Nilienda kijijini kumtembelea mjomba wangu hukooo mikoani. Alikuwa ni mfugaji wa ng’ombe maarufu mkoani huko. Huwa akiuza ng’ombe wake pamoja hata na miradi ya kuuza maziwa kwenye viwanda vya...
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
- Tuhurumie Baba
2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke!
- Baba, ni...