Mke wangu ana Mimba

Mke wangu ana Mimba

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,169
Jamani naomba ushauri, nimezaa na mke wangu watoto wawili, tumezaa mtoto wa mwisho 2008. Miaka yote nikifanya mapenzi naye huwa namwaga nje ili kuzuia mimba. Kuna kipindi alienda kwao kama wiki mbili alivyorudi akawa mgonjwa baada ya kupima mkojo akaonekana ana mimba, nashangaa mwenyewe nimempaje mimba? wakati sijawahi kumwagia ndani? sasa hivi ni miezi saba na mimba yake namlea. nafikira akizaa mtoto asiye na element zangu nikachek DNA. Najiuliza kama DNA itakuwa sio yangu nimfanyeje?
 
Kwani cha ajabu hapo ni nini, mtu mwingine kutembea mkeo ndo hadi uje utusimulie? Subiri azae kitanda hakizai haramu
 
Mkuu we umeoa na una mtoto ila kauli ambazo imezitumia humo dah weka tafsida basi
 
Ha ha ha
Kama mtoto sio wako hyo itakuwa kupatwa kwa mtoto
Umtafune huyo mwanamke
 
Muache uone watalamu watakavyo kuja kuilea iyo mimba kwa kitombo mfululizo pia..
 
Pole sana… jitahid kukaa mbali na silaha ukiwa naye..
Nakushauri mapanga, shoka na visy vyote nyumban viuze.. Alaf nunua sumu ya panya…
 
withdraw method sio njia ya kuaminika sana yawezekana umempatia bila wewe kujua
 
Panda Shamba lako mwenyewe mkuu. Wajanja wamepanda sasa wanasubr Mavuno. Yaaaan n AIBU kusema unamwaga mbegu nje....... Mbegu za kiume zna kaz nyng sana kwenye Mwili wa mwanamke co Kutunga mimba pekee
 
Panda Shamba lako mwenyewe mkuu. Wajanja wamepanda sasa wanasubr Mavuno. Yaaaan n AIBU kusema unamwaga mbegu nje....... Mbegu za kiume zna kaz nyng sana kwenye Mwili wa mwanamke co Kutunga mimba pekee
ahahaa ila itakuwa ya kwake jamani hata ukimwaga nje zinaweza zikateleza zikarudi ndani
 
Ongezeko la Watoto wa nje huku baba wa nje anapiga Scrub Tu ankauona unapost mtoto asie wako Instagram
 
ahahaaaa sasa kwanini umtombe mkeo ukojoe nje? raha ataipata wapi? sasa kaenda kwa watombaji kamwagiwa vitamin ndani kwa ndani tuone nani mjanja.wewe endelea kumwaga hata baharini
Hahahahaaaaa pumbavu zake eti namwaga nje, mijitu mingine bhana
 
pole san kiongoz mshilikishe mungu atakusaidi lakin hata vitabu vya din vinakataza kumwaga nje nakumbuka kunasehemu kwenye biblia nilisoma kuna mtu akikufa baada ya kutembea na mwanamke na kumwaga mbegu njee
 
Pole asee ila huu uzi kuusoma tena inabidi utizame mbele na nyuma kulia na kushoto
 
Sipendi condom hivyo naepuka mimba zisizotakiwa kwa kukojoa nje...
 
Back
Top Bottom