Mwanamke yeyote yule ukimskia analia lia njaa ujue huyo ni mpuuzi na mjinga.
Awe wa kawaida lazima atakua na wanaume wanammendea tuu, na wale warembo ndo kabisa hawakamatiki yani hawa utakuta...
Huu ni ushauri wangu kwako.
Zipo aina nne za mavazi katika maisha;
1. Sare ya shule
2. Joho la graduation
3. Gauni ya harusi
4. Rinda la mjamzito
NB. 1. Hata hivyo, kama ukiruka ya 1, hutopata...
Sisi wanawake tumezaliwa wavumilivu sana kuacha wale wenye tabia za asili ila kiukweli wanaume wamekua wabinafsi sana kwenye suala la mapenzi na ukifuatilia ni wanawake wachache sana...
Wakuu Habari zenu,
Nimeona nami leo bila kificho wala hiyaana nishare nanyi jambo ambalo kiukweli limenitokea katika maisha yangu,
Katika miaka kama michache iliyopita Nilijikuta natokea...
Sa11 Kila Siku unakurupuka kuwahi barabarani kutoka huko BONYOKWA unakoishi,ili uwahi Posta Mpya Ulikoajiriwa...
Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini...
Nilidhani ni sisi wanawake tu ndo tuna hizi ishu za kumtafuta kwa udi na uvumba na kufanya comparisons.
Kuna mkaka mmoja ndo kafanya haya kwa X wake ambao automatic walitengana tu sababu ya...
Si mara moja au mbili nimekuwa najiuliza hivi kuna sababu gani ya mtu kuwa sababu ya mwenza wako kukosa furaha?
Naomba niwashirikishe kisa mkasa cha "huyu dada rafiki yangu". Kuna siku alikuwa...
Inakera sana unaenda na mwanamke room halafu analalamika unamuumiza kizazi, mara usipush kwa nguvu, ni bora utafute mwanamke anaeweza kuhimili mikiki uenjoy lile tendo la kiutu uzima, inaboa sana...
Bwana Yesu asifiwe,
Mimi nimegundua wanawake wengi mnaowaona/wanaoonekana wathamani ni kwa sababu wapo wanaume wanaowapa pesa nyingi bila mpangilio kuliko unazotaka kumpa wewe.
Kumbe uthamani...
Habari wapendwa.
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha CHEATERS kinacho rushwa na chanel ya CBS R, kipindi hiki kinafuatilia watu wote wasio waaminifu kwa wenzai wao.
Nilicho kiona, wanaume ambao...
Katika dunia ya leo ya haki sawa...Mwanamke anayejitambua hamtegemei mwanaume kwa mahitaji yake..mwanamke aliyebweteka asifanye kazi kusubiri ahudumiwe na mwanaume hana tofauti na malaya...
Niko katika ofisi moja hapa mjini napita tempo na boss wa hii kampuni ni mwanamke.
Huyu mwaname ananitega sana siku nyingi na wiki iliopita alinipa ofa ya lunch hotel flan hivi ya hadhi ya juu...
Ilikuwa ni mwanzoni mwa ndoa yetu, babaangu mzazi akatutembelea basi jioni ile tukiwa tumekaa sebuleni na mkewangu, baba akiwa yuko chumbani kajipumzisha kuna kituko kikatokea .
Mkewangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.