God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Mwanamke yeyote yule ukimskia analia lia njaa ujue huyo ni mpuuzi na mjinga.
Awe wa kawaida lazima atakua na wanaume wanammendea tuu, na wale warembo ndo kabisa hawakamatiki yani hawa utakuta wanalist ya wanaume hata 1000 kwenda juu wote wanataka penzi.
Hapo akishindwa kufanya manuva na kupata pesa hakika hastahili kuwa mwanamke kabisa.
Pesa zinapatikanaga kiurahisi tuu, mfano zawadi ya birthday, nguo, kuumwa, nipe nauli nije, sijala, mwenye nyumba anadai kodi, mzazi mgonjwa na mbinu nyingine tuu nisizozijua za kijasusi.
Imagine mwanamke bithday yake ni tarehe 2 mwezi wa kumi hapo akiwatext wanaume walio kwenye list lazima watawaza kutoa zawadi hata wakigoma basi hawatakosekana 100.
Sasa piga mia moja mara hela ya chini kabisa mwanaume unaweza kumpa mwanamke ni buku teni, 10,000*100=1,000,000
Kwa nini ewe mwanamke ulie lie njaa? kwa maneno yako matamu unashindwa kumwingiza chaka sharobaro au dume lolote au domozege kweli ligeni na mapenzi? pale ukimwandikia i love you dear natamani siku ya leo iwe special kwetu ila sina pesa ya kuja kwako, likitumua unazuga umeitwa kwenu halaf next day unaanza kulipiga kalenda tuu na sababu kibao, au unalitumia picha moja kali sana linachanganyikiwa hata siku ya mtihani linasahau!
Masharobaro wao wanatoaga cha juu, wako radhi wasilipe ada au wasifanye mipango ya kimaisha watupia 500,000Tsh na ushee kwa mwanamke ili aonekana mjanja.
Hapo hujaweka lile kundi maarufu hapa nchini la watu wazima hasa vigogo hawa hutoa pesa nyingi sana, so mwanamke ukiwa mjanja hapa utasoma bure kwa pesa za wanaume na kufanya mipango kibao ya kibiashara.
Hiyo birthday ni official ila unaweza danganya ata boya flani kwamba siku flani ni birtday ili liingie kingi likupe cha juu.
Mnaweza kudanganya kwa shida kibao maana mna akili nyingi na uwezo wakuteka hisia za mwanaume na kumwingiza moja kwa moja kwenye mikono yako.
NASEMA TENA MWANAMKE KULIA NJAA NI UJINGA NA UPUUZI ULIOTUKUKA.