Sasa mbona mkigombana au kuachana unamfukuza aende kwao na siyo kwenu?Mwanamke alitolewa katika ubavu wa kushoto wa mwanamme, kwahiyo mwanamke ni sehemu ya ubavu wa mwanaumme nao wakiona huwa mwili mmoja. Hawa ni zaidi ya ndugu na nizaidi ya rafiki pia.
Ref Mpoto Ukihitaji mke ndugu huzai naeHabari wanajamvi,
Nimekuwa najiuliza mara nyingi hivi Mumeo au Mkeo ni ndugu yako au ni rafiki yako.
Nombeni mnijuze tafadhali..
Kwani unaweza kumtongoza ndugu yako au kumgonga ndugu yako kama huna laana[emoji15] [emoji15]
Siyo ikihitaji mke..ni ukistahi mke ndugu huzai nae..Ref Mpoto Ukihitaji mke ndugu huzai nae