Biashara ya k mjini imedorora, namaanisha kuwa zaidi ya nusu ya wanawake wa mijini walikuwa wanaishi kwa kipato cha kuuza miili yao kwa namna iliyo rasmi au isiyo rasmi. Sasa baada ya wezi kukabwa...
Natumai nyote ni wazima wa afya kabisa na mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida na kwa wale ambao pengine leo hamkuamka vizuri poleni na kwa wale ambao mmepotelewa na " Wapendwa " wenu namaanisha...
Habari za majukumu wapendwa?
Wanawake wengi hawajui nafasi ya mume, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo.
Jinsi ya kumlinda mumeo:
1. MAPISHI
Unapokua upo jikoni...
Wasifu wangu.
Elimu:nina shahada ya kwanza, umri wangu miaka 29.
Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea.
Sichagui dini wala kabila wala kiwango cha elimu,muhimu awe na mapenzi ya...
Kama unafanya kazi na "Kipato chako kinaishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa muajiri...
Sifa ya mwanaume kujituma, kutafuta pesa na kujipanga. Hivi unakuta kijana umri unaenda bado anategemea kwa wazazi msosi ni hotpot family huyu ni hasara.
Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa...
Kamwene...
Kumekuwa na wingi wa wanawake wakilalamika kwamba wanaume hawatoi matunzo kwa wanawake wao..na kama wanatoa ni kidogo tu..haitoshi..vivyo hivyo wanaume wanalalamika kupigwa vizinga sana...
Mwishoni mwa mwaka jana nilialikwa katika kipindi fulani kilichokuwa kikirushwa na kituo kimoja cha redio hapa nchini. mojawapo ya mada tulizozungumzia ilikuwa ni athari za kukandamiza ngono...
Heshima kwenu wana JF,
Miaka mitatu iliyopita tulihitaji kuwa na msaidizi wa kazi za ndani baada ya mke wangu kujifungua, wakati tukiwa kwenye mchakato wa kumpata, dada yake mke wangu...
Jf oyeee...(Kwa jinsi JF inavopingwa siku hizi hadi bungení na wakuda mtalazimika tu kusema oyeee)
Naam kwa mara nyingine tena kama ilivo kawaida ya vichwa makini vya JF nimeuleta huu uzi ili...
Heshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, nafanya kazi Sirari mkoa wa Mara. Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa.
Aliyetayari ani pm tupeane...
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku...
Mambo vipi wadau,
Mwenzenu yamenifika shingoni!
Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.
Nimeumia sana.
Mwanamke akili zake ni kama mtoto mdogo. Mtoto ukimzoesha kumtuma dukani chenchi unamwachia, siku usipompa chenchi haendi tena.
Mwanamke yupo hivyo hivyo, mwanamke hata akiwa na degree mia moja...
Kumekuwa na Ongezeko kubwa sana la wanawake kungiliwa kinyume na maumbile Mchezo ambao sio tuu kwamba ni hatari sana kwa Afya but pia si mpango wa Mungu watu kufanya uchafu huo,kwa faida ya...
Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi.
Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya...
Nimemaliza kaelimu kangu kadogo mwaka huu. Nimefanya uhuni mpaka sikumbuki nimegegeda wangapi. Kuna siku nilikuwa nawahesabu wengine nilikuja kuwakumbuka baada ya siku mbili.
Nimeamua kuingia utu...
Kama wewe ni msichana na unapenda kufurahi..,unapenda utani ila sio ulioptiliza waweza nicheki sijali umri wala dini wala kabila ila pia fahamu mimi single...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.