Mwanamke anayejitambua

Mwanamke anayejitambua

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Katika dunia ya leo ya haki sawa...Mwanamke anayejitambua hamtegemei mwanaume kwa mahitaji yake..mwanamke aliyebweteka asifanye kazi kusubiri ahudumiwe na mwanaume hana tofauti na malaya anayejiuza

Kwa namna nyingine hana utofauti na wale walemavu wanaombaomba kariakoo..

Ukitaka kuhudumiwa..na wewe uwe tayari kumhudumia mwanaume..ukiwa bahili wewe..usitegemee mwanaume hatakuwa bahili..

Anzeni kubadirika mapema katika fikra zenu..kama mnataka serious relationship..ila kama mnaendelea kuuza..wekeni bei kabisa.

Dunia ya sasa si kama ya zamani..
 
unatutukania wazazi wetu ambao wametuzaa na bado wanategemea waume zao.we kama humpendi mwanamke tegemez tafuta mwenye kaz....usitutukanie wanawake tegemez eti sawa na Malaya wakati wamekulea mpaka umekua kwa kumtegemea baba yako.
 
Kwa hiyo mama yako alivyomtegemea Babako ni Malaya?
 
unatutukania wazazi wetu ambao wametuzaa na bado wanategemea waume zao.we kama humpendi mwanamke tegemez tafuta mwenye kaz....usitutukanie wanawake tegemez eti sawa na Malaya wakati wamekulea mpaka umekua kwa kumtegemea baba yako.
Tofautisha mme na mke..hawa wapenzi ambao wanaomba pesa za matumizi wakati wakiwa na kazi zao.wanataka kuhudumiwa na mwanaume kisa papuchi..mwanaume akiwa na shida wanajifanya hawasikii..wakati uwezo wa kusaidia upo..kuna mapenzi hapo.??? Sssa haki sawa...usilinganishe na dunia ya zamani.
 
Back
Top Bottom