nanya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 672
- 523
Inakera sana unaenda na mwanamke room halafu analalamika unamuumiza kizazi, mara usipush kwa nguvu, ni bora utafute mwanamke anaeweza kuhimili mikiki uenjoy lile tendo la kiutu uzima, inaboa sana nyie mabinti mnavyolialia kitandani. Acheni kutamani vitu msivyoviweza mnatupotezea muda.