Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Marriage doesn't cure lust, if it did, adultry woundn't exist. Dont view marriage as a sex release. Self control is still a requirement. Lust doesnt care if you are married or single. I saw...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na yale ya mjini kati, kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket...
8 Reactions
82 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF....naamini mko salama kabisaa Jamani hivi psychological torture inatibika? Psychological torture mfano kwa mtoto, watu wazima n.k Na pia kama kuna mtu anafahamu sababu za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata: 1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa 2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani...
31 Reactions
358 Replies
108K Views
Unalikuta lidume zima linajisifia urijari kwa kuwa na mademu kama madira ya elfu 3, badilikeni nyie wanaume, kama mwanaume rijali nyumbani wapate ugali.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Hello wana jamvi, Naomba kuuliza jambo ambalo linanisumbua sana moyoni. 1. Hivi kwanini watu huumizwa kwenye mapenzi? 2. Why people leave their true lovers for temporary ones? Je ni kweli watu...
0 Reactions
6 Replies
851 Views
Unampigia mwanamke simu unamuuliza uko wapi,? Kisha anakujibu niko nyumbani, una shangaa kidogo kisha unamuuliza wapi huko then anajibu huku Mbezi Beach Salasala. Maswali mengi unajiuliza ina...
9 Reactions
89 Replies
9K Views
Mana hapo nataka kufaham sheria yetu ikoje!??
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Naomba usaidizi kusema uko na Sexy eyes kwa kiswahili ni
2 Reactions
55 Replies
16K Views
Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pia. Kulingana na wataalam, kuna sababu kadhaa ambazo...
3 Reactions
91 Replies
90K Views
Za asubuhi ndugu zangu.. Natumaini mmeamka salama. Ndugu zangu, dhumuni la kuleta uzi huu hapa jamvini ni kuomba msaada hali ya mahusiano yangu imefikia pabaya. Na sijui nafanyaje mpenzi wangu...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Habarini wakuu, Leo naomba tushee uzoefu kidogo kuhusu phone sex,phone sex ni ngono kwa njia ya simu kupitia calls,text n.k Kwa maoni yangu hua naona kama ni njia ya kujihamasisha kufanya...
2 Reactions
88 Replies
15K Views
Habari wana MMU, Kama heading ulivyoisoma hakuna kuongea sana, hivi mwanaume kama mwanaume unaanzaje kuplan kujiua kwasababu ya mapenzi au mahusiano ya kimapenz yasiyozidi hata miezi sita? Hebu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nilikuwa nimejisahau kabisa kwa kutekwa na mazungumzo ya kwenye simu.... Nilikuwa nina kama miezi mitatu tangu kuoa kwangu. Ilikuwani Juni 1995. Mke wangu alikuwa akiniamini sana na hata wazazi...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Salaam wanajamvi, Nimeishi kwenye ndoa miaka mitano sasa changamoto kubwa mke wangu amebadilika sana sio yule wa enzi zile. Alikuwa mnene wastani, na kila kiungo cha mwili wake kilionekana kipo...
1 Reactions
174 Replies
18K Views
Ndoa zina mengi nyie acheni tu! A: Naomba uachane na mume wangu!! B :Nani huyo??? Mbona sina Mwenza mimi!!! A: Huyo ulie mtuma mikate na pedi, B: Mbona huyu ni mtu wangu na hajaoa wala nini...
9 Reactions
386 Replies
38K Views
Kumekuwa na wimbi la story (habari) mbaya kuhusu ndoa kila mtu analalamika mara ndoa ndoano, mara ndoa vile mara ndoa hivi. Ina maana kwenye ndoa kila siku ni kupigana tu, kudharauliana na...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu, natumai mmeamka salama. Lengo la kuleta hii mada ni kuomba ushauri kwa ajili ya jambo linalo nisumbua kwa muda mrefu. Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nimemaliza...
3 Reactions
108 Replies
14K Views
Ndugu wanajamvi, Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabisa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kilichonisukuma kuandika hii thread ni baada ya kuona baadhi ya thread ambazo wahusika wameumizwa na wenza wao kisa tu kua amesogea hatua katika maisha kwaio anamuona yule waliekua nae ambae kwa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom