Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Hakuna binadamu anaezaliwa akiwa anafahamu kila kitu, kujifunza itatokana na malezi ya wazazi/walezi, shuleni pia kila siku unayoishi duniani unajifunza kitu mpaka pale unapoingia kaburini. Huyo uliyekutana nae labda alifiwa na wazazi akiwa mdogo hakupata mtu wa kumpa elimu ya awali kuhusu usafi wa mwili, shule uliyosoma kama ni zile St Kayumba zetu, mwalimu anawaza lini atalipwa mafao yake, huo muda wa kukufundisha wewe usafi wa kinywa autoe wapi. Usimlaumu, na siku nyingine ukikutana na mwingine wa aina hiyo, mfunze kama ni mwerevu.
 
Sa nyingine hakula tng asubuh hapo unategemea nn au labda ana matatizo ya kinywa,kwani nyie hamnukagi?tena mwingine sio mpk aongee anaweza tu kupumua ile harufi ikatokea mdomon hd puani,so mara nying huwa nafikiriag ni ugonjwa
 
Leo nilikua napiga stori na mwanamke mmoja hivi kwenye basi khaa ananukaje mdomo? Kama sijaamini maana nimewazoea wanawake ni watu wasafi sasa.
Na haya mambo ya kutema jasho ni kwa wanaume tuu, alaa haya bana.

oleele
jf 2.jpg
 
Jinsi ya kujua kama una tatizo la kunuka mdomo fanya haya;

-Chukua kiganja chako cha mkono halafu ramba kiganja hicho kwa kutumia ulimi wako mara moja kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa ulimi

-Subiri kwa dakika tano mpaka mate yakauke kwenye kiganja chako

-Nusa kiganja chako, kama kitatoa harufu mbaya basi ujue una matatizo ya kunuka mdomo ya kudumu

Mtafute daktari kwa matibabu zaidi
 
😀😀😀😀

Umenikumbusha kamtu flani hivi humu humu....
 
Kwani suala la kunuka mdomo lina ujinsia?

Ulimsaidiaje? Ulimshauri nini kabla ya kuja kumsema kimbea huku?
 
Ata ukisema wanawake ni wasafi sio wote so ujue hiyo kitu ina apply side zote ata kwa wanawake
 
Mbona mimi ninabinti ofisn ananuka mdomo na tunakaa nae,,ila naogopa kumwambia maana ni mtata? Pia Hanihusu,,Ila tu Tunakaa karibu ofsini, ,Tatizo ni mfupi na huwa hajiamini,,ila mi ninaduka la dawa hizo ila unashindwa nianzaje kumwambia,,na atajua tu labda navutia Biashara kila Wapo kabisa tena wananuka saana,,mi nahsi ni ugonjwa,
 
Jinsi ya kujua kama una tatizo la kunuka mdomo fanya haya;

-Chukua kiganja chako cha mkono halafu ramba kiganja hicho kwa kutumia ulimi wako mara moja kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa ulimi

-Subiri kwa dakika tano mpaka mate yakauke kwenye kiganja chako

-Nusa kiganja chako, kama kitatoa harufu mbaya basi ujue una matatizo ya kunuka mdomo ya kudumu

Mtafute daktari kwa matibabu zaidi
wenginne hawana matatizo bali uchafu tuu hata hawaogi
 
Mbona mimi ninabinti ofisn ananuka mdomo na tunakaa nae,,ila naogopa kumwambia maana ni mtata? Pia Hanihusu,,Ila tu Tunakaa karibu ofsini, ,Tatizo ni mfupi na huwa hajiamini,,ila mi ninaduka la dawa hizo ila unashindwa nianzaje kumwambia,,na atajua tu labda navutia Biashara kila Wapo kabisa tena wananuka saana,,mi nahsi ni ugonjwa,
wengine hata si ugonjwa ni uchafu tuu na kama huamin jaribu kuinama act like umedondosha kitu usiposkia ananuka maku
 
Duuuu katauwasha,,,maana ni kafupi na naonaga hakana hata boyfrnd ,,In short anajisikia inferior sana hasa kama mimi nikiwa naongea nae , yaani kila kitu nikiongea anasema ,,Niache dharau, ila Nitajaribu kuinama ni sense
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom