Kunanini wanaume na wanawake wanene? (wanaume michepuko kibao)

Kunanini wanaume na wanawake wanene? (wanaume michepuko kibao)

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Habari wapendwa.

Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha CHEATERS kinacho rushwa na chanel ya CBS R, kipindi hiki kinafuatilia watu wote wasio waaminifu kwa wenzai wao.

Nilicho kiona, wanaume ambao Wake/Wachumba wanene ndio wanaongoza kwa kuchepuka, kuliko wanaume wenye wake/wachumba wembamba.

Ninajiuliza, kunanini katika watu ambao wana shepu za hizi.
 
Suala la kechepuka halichagui na inakuaje iwapo anaefumaniwa nae ni mnene pia?
 
Kuchepuka ni tamaa ya muda mfupi ya ngono tu. Unakuwa na mwanamke/mume mstarabu tu mnayepeana kila aina ya mapenzi lakini na bado ukatamani cha nje. Kuchepuka ni kama ugonjwa.
 
Sometimes unene ukizidi mwanamke anapunguza kuwa active like before
 
Back
Top Bottom