Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

MIMI KUNA CKU NILIWEKA HAPA UZI UNASEMA

"Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee "

Mamtu yakaanza kunikandia eti ooooh kuna sehem anahongwa huyo!!!!

Nikawaona WOTE MAJUHHA tuu...

Big Gift hapo una demu kama wangu mzee...
Keep it up.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.
Umevunja ungo/balehe?
 
nakubali lakini chukua tahadhari inawezekana ana build trust adi unaamini badae anakuja kupiga kizinga kimoja tu cha adabu adi ana compasate za nyuma plus extra .
 
MIMI KUNA CKU NILIWEKA HAPA UZI UNASEMA

"Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee "

Mamtu yakaanza kunikandia eti ooooh kuna sehem anahongwa huyo!!!!

Nikawaona WOTE MAJUHHA tuu...

Big Gift hapo una demu kama wangu mzee...
Keep it up.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nashukuru mkuu tupo pamoja.
 
nilishazoea na nitaendelea kuwala bure!

kwangu ukitaka pesa ndio umejipa taraka, huyu nilie nae wa mda mrefu ananipa kiburi pindi napotafuta wa bure wengine nakuwa na pa kupozea bureeeee
 
Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.

Brother nakusoma sana kuhusu hi ishu. Sema nilichogundua, wasichana wa type hi ni wachache lakini wapo.Wanaweza kua wanajitegemea au kama bdo anaishi kwa wazazi basi,pesa anayopewa na wazazi anakua tayari kushare nawewe.Yani hawa wasichana either kupitia malezi wamefunzwa kwamba mahusiano ni mchango 50/50 kati yake na boyfriend/husband au kupitia utandawazi wamejifunza maisha ya sasa hv kila mtu kwenye mahusiano ana jukumu 50% lakuchangia chochote ili no member asiwestressed na r. ship bali aenjoy equally.Na hi type ndo mwanaume akimpata apotezi mda.. nikuvalisha pete fasta. Sasa naona madada wetu wengne bdo wako usingizn.. mizinga kwenda mbele hata kama anatengeneza pesa(ameajiliwa).Mtaasubiri sana.
 
Back
Top Bottom